Jicho la ndani: Sababu za kitaalamu za kushindwa kwa CHADEMA na UKAWA katika uchaguzi mdogo

Na ndio maana bado siwaelewi ccm yaani ni sawa na wameingia ulingoni na bondia aliyefungwa pingu mikono afu wakimpiga knockout wananshingilia?? Inaleta maana kweli?? Hakuna fair ground ila wakishinda wanaanza kushangilia na kutukejeli wanasahau uchaguzi wa mara ya mwisho 2015 ccm imepata madiwani wachache sana kuliko wakati wowote ule toka uhuru....na upinzani kutoka halmashauri 5 mpaka 20+ then wakija hmu wanajitia moyo na hizi kata ''walizozitetea'' kwa kupigana na bondia mwenye pingu

SHAME ON U CCM
Iposiku watatuelewaaaa
 
Tumeacha wafu wazike wazike wafu wao 20-1 kifo cha mende watanzania washajua na this time sio kuisoma wapinzani mutaiimba namba
Hivi hata hamjishtukiii mmefanya siasa kila siku kwa mwamvuli wa ''SHUGHULI ZA SERIKALI'' huku wapinzani mmewazuia afu mkishinda .mnajisifia??? R u insane??
 
Mbona majimbo Mengine mnashinda? Acheni sasa kushiriki chaguzi zote mpaka pale mridhike na hiyo fair ground
Hahhahahahaha mbona mliishia kumkejeli maalim seif alipokata kishiriki MAIGIZO yanayoitwa uchaguzi maarudio zanzibar.... wewe ulimtukana sana humu usikfiri jf haitunzi kumbukumbu ukamuita matusi yote leo hii kipi kimekupata uone kususia ndio suluhisho??
:D:D:D:D:D:D
 
Kwanini Chadema waliingia kwenye uchaguzi?
Mkuu kwa mazingira hya ya siasa kuzuiliwa naona hizi nchaguzo ndio njia pekee ya kuwasilisha sera zao kwa wananchi maana bila hizo chaguzi nlikuwa sijawahi ona chadema jukwaani hku kijichi toka kampeni 2015........ so hizi chaguzi hta kma tume sio huru tupande mbegu ila uchaguzi mkuu historia inaonyesha kila uchaguzi namba ya wadiwani na halmashauri za ccm zinapukutika so we hope trend ni ile ile hadi 2020
 
Endeleeni kuota. Gambia aliyeshindwa ni rais huku Tanzania ccm huwa inaleta wagombea tofauti kila ucjaguzi wa urais inapofika. Kama hilo tu hamlijui poleni sana
Mjipe matumaini, ata ufalme wa kirumii uliangushwa. Nchi nyingi kama vile Zambie, Ghana, Nigeria, vyama vyao vilikua kama fisiem. wewe jifariji kwa kua mjomba wako ni kada wa fisiem, anaogopa siku fisiem ikianguka kazi hana, ipo siku yatakwisha. Hakuna marefu yasiyokua na ncha. Mark my words.
 
Kama kila marefu yana ncha Basi chadema imefikia nchani sasa.
 
Hahhahahahaha mbona mliishia kumkejeli maalim seif alipokata kishiriki MAIGIZO yanayoitwa uchaguzi maarudio zanzibar.... wewe ulimtukana sana humu usikfiri jf haitunzi kumbukumbu ukamuita matusi yote leo hii kipi kimekupata uone kususia ndio suluhisho??
:D:D:D:D:D:D
Nioneshe hayo matusi.
 
Back
Top Bottom