Jibu ndiyo au hapana katika swali lifuatalo.

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,556
7,085
Je ndugu zako na marafiki zako wanajua kuwa siku hizi umechanganyikiwa?
 
Mbona majibu yote ni km nimekubaliana na swali!jibu langu ni hakuna jibu sahihi!
 
Je ndugu zako na marafiki zako wanajua kuwa siku hizi umechanganyikiwa?



Masharti ya swali yanahitaji kurekebishwa. Masharti mapya ni haya: Hili swali lijibiwe na mwanaccm tu, kwa kusems ndio au hapana.

Asante Mtei One kwa post ya kufikirisha lakini samahani kuigeuza kuwa ya siasa.
 
Ndiyo maana madaktari wa ile Hospital maarufu pale Dom, kila siku wanaomba kuongezwa salary kwani kazi yao ni nzito! Na wagonjwa wapya daily.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom