Jiamini, hata kama huna pesa jivunie kuwa mwanaume!

Kujiamini ndio kila kitu.. ila hiz dhana za kwamba mwanake wanaangalia pesa.. sana.. ndizo zinazofanya baadh ya vijana wa kiume kujiona hawawezi
 
mtoa mada labda ulitaka useme nini?naona haijitoshelezi hii topic yko embu kaa vizuri uandike upya
 
Acha kuwadanganya wenzako. tafuta pesa. wewe jidanganye hapo huna mia mfukoni eti unajivunia kujiamini..

utakuja kulia mda si mrefu wewe.

kujiamini kwa mwanaume ni pesa tuu hakuna kengine kile
 
Unaamanisha vijana watafute pesa kuanzia 100. Mtu mwenye hili jina lianzie kuitwa mwanaume mwenye sh ngapi?

My point, wanaume wote hatuwezi kuwa na pesa(msemo utumikavyo mtaani ) angalia hata mtaani wasio na pesa ndiyo wengi. Je nao hawaruhusiwi kujiamini kwasababu hawana pesa?
 
Mkuu

lazima wanaume tutafute pesa. hilo lielewe tu.
 
Yes, money doesn't buy love but it increases man's bargaining position.
 
Habari za asubuhi wana JF natumaini mko poa sana na wikiendi tulivu!

Nina neno moja ambalo ningependa kushare na wanaume wenzangu kuhusu jinsi ya kujiamini hata kama huna pesa na siku zote hautakiwi kukinyenyekea kiumbe kilichotoka katika ubavu wako!
Binafsi hata mwanamke awe mzuri vipi kwangu hafui dafu kufikia hatua ya kunifanya nisijiamini au kujidharau na pia nakuombeni wanaume wenzangu tambueni kuwa siku zote mwanamke hupenda mwanaume mwenye kujiamini na kujiheshimu so muwe na jumapili njema ila pia kina dada kaeni mkitambua kuwa bila sisi wanaume ninyi sio kitu ,
MUWE NA AMANI.
Ndo yale yale nitajiajiri vp huku sina mtaji
 
Kujiamini ndio kila kitu.. ila hiz dhana za kwamba mwanake wanaangalia pesa.. sana.. ndizo zinazofanya baadh ya vijana wa kiume kujiona hawawezi
Acha kuwadanganya wenzako. tafuta pesa. wewe jidanganye hapo huna mia mfukoni eti unajivunia kujiamini..

utakuja kulia mda si mrefu wewe.

kujiamini kwa mwanaume ni pesa tuu hakuna kengine kile
Mkuu najua unachofikiriaaa just try to imagine your words!
 
Kujiamini kuna anza kwanzo kwenye mambo binafsi,kama una msimamo na unapanga mambo yako binafsi kwa ukweli na uhakika basi ni rahisi sana kujiamini.Lakini kama umezoea kufanya mambo bora tu yaende basi kujiamini mbele ya wanawake na wanaume wenzako inakua ngumu.
NB;Kua muongeaji ovyo ovyo sana na kupenda kujisifia sana hata kwa sifa sio zako sio kiashiria cha mtu anayejiamini
 
Pesa ndio kila kitu mkuu, huwezi kuwa huna kitu ukawa na confidenc ya kuomba papuchi ya mtoto kigogo anamiliki mkoko wa maana!

Kama huna hela watoto wakali utaishia kuwaona tu na kuwaita shemej zako
Pepuchi ni ile ile man, haya mengine ni mbwembwe tu, kwani papuchi ya mtoto mkali ina asali?
 
Acha kuwadanganya wenzako. tafuta pesa. wewe jidanganye hapo huna mia mfukoni eti unajivunia kujiamini..

utakuja kulia mda si mrefu wewe.

kujiamini kwa mwanaume ni pesa tuu hakuna kengine kile
Pesa kiasi gan ndio ujiamini????
 
Unaamanisha vijana watafute pesa kuanzia 100. Mtu mwenye hili jina lianzie kuitwa mwanaume mwenye sh ngapi?

My point, wanaume wote hatuwezi kuwa na pesa(msemo utumikavyo mtaani ) angalia hata mtaani wasio na pesa ndiyo wengi. Je nao hawaruhusiwi kujiamini kwasababu hawana pesa?
Kwanza kujiamini ni namna mojawapo muhimu ya kufanikiwa kipesa
 
Pesa! Pesa!
Money can solve almost 90% of life challenges!
Labda kama unafanya hit and run,
But in long term, Saka Pesa mkuu!
 
Back
Top Bottom