Jfteam nawapa pongezi kubwa

LUMBAKALA

Senior Member
Dec 29, 2010
148
20
Maxence Mello na team yako nawapeni pongezi kwa kazi nzuri ya kuboresha JF.Mmefanya mageuzi mazuri na kuongeza uwanja mpana wa jarida ili sisi wadau wa mtandao tujinafasi kwa raha zetu.Pia nawapongezeni kwa wale wanaoingiza ishu za dini, naomba waelewesheni japo ndani ya mtandao huu unaruhusiwa kuandika kila kitu sasa hizi za udini tutakuwa "less thinkers and not greater thinkers" big up sana ndani ya nyumba
 
Back
Top Bottom