JF yamepewa promo na BBC

Kingdom_man

JF-Expert Member
May 19, 2010
405
456
Hatimaye BBC wamerusha maafa ya mafuriko ya Dar kwenye website yao, cha kusikitisha tu haijawa BREAKING NEWS wakati ni maafa makubwa :( Ila all in all inaonesha wadau wa BBC wanatembelea JF mana kwenye hiyo picha hapo chini kulia wameandika walipo itoa hiyo picha/link
BBC News - Tanzania floods: Heavy rains inundate Dar es Salaam
_57520115_photo.jpg

BBC News - Tanzania floods: Heavy rains inundate Dar es Salaam
 
33 people inaweza isiwe breaking news kwao, wamezoea kurusha massive killings. Despite all odds, watz tuna sababu nyingi sana za kumshukuru Mingu, majanga hayatuandami kama wenzetu.
 
Good press for JF no doubt, lakini.

JF ndiyo ilipiga picha?

Ninavyojua mimi attribution ya picha ni kwa mpigapicha au shirika lilomuajiri mpiga picha, sasa isije kuwa BBC wamekwapua picha online bila makubaliano na yeyote, wakaogopa kuiweka kwenye site yao bila ku attribute source, wakachagua njia rahisi kuweka nembo ya "JamiiForums"

BBC wamepata ruhusa kutumia picha? Mpigapicha nani?
 
Kiranga, source ni ulipoipata news/story au Tip!. Na sio aliyepiga/aliyeandika.

Ownership ya published picture/story ina change hands after publication inakuwa ni mali ya chombo kilichoitumia.

Wewe Kiranga, ukiandika story kwa mfano:
"Rais Kikwete ni Kiongozi Legelege asiye na uwezo wa kichukua maamuzi magumu dhidi ya Ufisadi ndio maana Ufisadi inazidi Kutamalaki Tanzania!"

Daily News likiitumia hiyo story na byline yako, ikiwa quoted popote watasema Daily News lasema "Kikwete rais Legelege...", hawatasema Kiranga ameripoti Kikwete rais legelege!.

Kama BBC wamei quote jf, hii inamaanisha jf ni distinguished source ya breaking news which is a plus to jf!.

Tunapopata mafanikio kama haya, ni wajibu wetu sisi jf tupunguze viroja na kuongeza hoja za msingi when it comes to breaking news!.
 
Kweli King'asti licha ya maovu yetu mengi lakini bado Mungu anatuhurumia kwa majanga.
 
Good press for JF no doubt, lakini.

JF ndiyo ilipiga picha?

Ninavyojua mimi attribution ya picha ni kwa mpigapicha au shirika lilomuajiri mpiga picha, sasa isije kuwa BBC wamekwapua picha online bila makubaliano na yeyote, wakaogopa kuiweka kwenye site yao bila ku attribute source, wakachagua njia rahisi kuweka nembo ya "JamiiForums"

BBC wamepata ruhusa kutumia picha? Mpigapicha nani?

wewe utakuwa unalala kama popo kichwa chini miguu juu
 
Kiranga, source ni ulipoipata news/story au Tip!. Na sio aliyepiga/aliyeandika.

Ownership ya published picture/story ina change hands after publication inakuwa ni mali ya chombo kilichoitumia.

Wewe Kiranga, ukiandika story kwa mfano:
"Rais Kikwete ni Kiongozi Legelege asiye na uwezo wa kichukua maamuzi magumu dhidi ya Ufisadi ndio maana Ufisadi inazidi Kutamalaki Tanzania!"

Daily News likiitumia hiyo story na byline yako, ikiwa quoted popote watasema Daily News lasema "Kikwete rais Legelege...", hawatasema Kiranga ameripoti Kikwete rais legelege!.

Kama BBC wamei quote jf, hii inamaanisha jf ni distinguished source ya breaking news which is a plus to jf!.

Tunapopata mafanikio kama haya, ni wajibu wetu sisi jf tupunguze viroja na kuongeza hoja za msingi when it comes to breaking news!.
Alitaka iandikwe Pasco wa JF au Kiranga wa JF.
 
itakuwa safi sana JF mkiiacha kutupiga ban

Hilo ndio tatizo la kutokua makini unapoandika...maoni yako hayaeleweki unasema nini sasa kwa kosa dogo tu la herufi...sijui unamaanisha MKIACHA au nini??
 
Back
Top Bottom