JF Saccos Endelevu!!!

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,539
755
Habari ya mihangaiko wana jamii....Kwa heshima na taadhima niwashukuru wale wooote waliochangia thread ya jana aliyoitoa mwana jamvi mwenzetu juu ya kuanzisha JF saccos.. kiufupi nilipitia documents zote jana na nikagundua hili jambo linawezekana tukiwa real commited. Kanuni, Sheria na miongozo ya kuanzisha Saccoss ipo na tutofautishe Saccoss nan DECI,.

napenda kutoa hoja ya kupata member wa saccoss waliotayari ili tupate forecast ya member watakuwa wangapi.......kwa kuanzia tunaweza kuandika majina yetu tu then tutakapoanza uandikishaji lazima uje na legal document zinazokutambua wewe na sio synony name.

N.B TAFADHARI UWE SERIOUS NA UWE KWELI EXPECTED MEMBER WA JF SACCOS

AHSANTENI

NAME
1. Kifulambute
 
kwanza kwa nini umeanzisha thread nyingine wakati hakuna toauti na ile? au unafikiri ukianzisha thread unaongezewa salio kwenye simu?
pili hapo kwenye red ushatukosa wote humu
tatu umegenerelise hujaweka strategic au plan ya hiyo saccos unayoitaka, kila kitu lazima kiwe na plan, tuwekee plan sheet yako humu
nne mods unganisheni hii thread na ile nyingine kule
tano: karibu JF
Amani iwe nawe:
 
Sikuwa naipata post ya jana nilikuwa na shida na net so nikajua mods akiipata atailink na ya jana.
 
Jamani naomba tuendelee na list iliyo mwanzo nimepata link sasa net yangu ilileta shida.
 
[COLOR=red said:
Saint[/COLOR] Ivuga;1988353]kwanza kwa nini umeanzisha thread nyingine wakati hakuna toauti na ile? au unafikiri ukianzisha thread unaongezewa salio kwenye simu?
pili hapo kwenye red ushatukosa wote humu
tatu umegenerelise hujaweka strategic au plan ya hiyo saccos unayoitaka, kila kitu lazima kiwe na plan, tuwekee plan sheet yako humu
nne mods unganisheni hii thread na ile nyingine kule
tano: karibu JF
Amani iwe nawe:

Kaka Umeachana na yale mabo ya tiGO na kuwa Mtakatifu? Hatua Nzuri sana!!
Hatua nzuri Muhimu usiwe tu Mtakavitu!!!
 
Habari ya mihangaiko wana jamii....Kwa heshima na taadhima niwashukuru wale wooote waliochangia thread ya jana aliyoitoa mwana jamvi mwenzetu juu ya kuanzisha JF saccos.. kiufupi nilipitia documents zote jana na nikagundua hili jambo linawezekana tukiwa real commited. Kanuni, Sheria na miongozo ya kuanzisha Saccoss ipo na tutofautishe Saccoss nan DECI,.

napenda kutoa hoja ya kupata member wa saccoss waliotayari ili tupate forecast ya member watakuwa wangapi.......kwa kuanzia tunaweza kuandika majina yetu tu then tutakapoanza uandikishaji lazima uje na legal document zinazokutambua wewe na sio synony name.

N.B TAFADHARI UWE SERIOUS NA UWE KWELI EXPECTED MEMBER WA JF SACCOS

AHSANTENI
Hayo Bwn Kifulambute ni mawazo ya kimaendeleo, mimi pia nimo nihesabu!!!!!!

NAME
1. Kifulambute
2.Mtumishi Wetu
 
Back
Top Bottom