JF: Rankings, Reputations na Maswali Mengineyo..

mimi nashindwa kujua rank yangu maana nilishafikia jf senior expert member nikapigwa demotion bila notification yeyote. pengine ajili siku za karibuni hamjaona nafasi yangu ya kuchangia jf. sina hakika na mpangilio wenu wa ranking

if ranking are based on total number of post this shouldnt happen unless there is unresolved system bug or them gremlins out to do mischief . Funny i have been demoted too, wondering who has been 'stealing' my posts.
 
na imekuwaje sie tuliokuwa ma-jf ert membaz nyuma na kuwa senior membaz tu?

Something somewhere went wrong.
Hata mi limenishangaza. Niliona a couple of people wameshushwa ghafla.
Na mimi nlikuwa Senior Member nkashangaa hakuna note wala nini nikawa Member.
 
Wakuu habari zenu?
Humu JF naona watu wana taito za Junior Expert Member, Senior Member, Bronze n.k, swali ni hivi; hizi ni tuzo au na je zinahusiana na nini au ni kama kupandishwa cheo kazini? kwasababu naona ata waliojiunga JF mwaka huu naona wanaitwa JF Expert.....ufafanuzi
 
grafani11 una-load nini mkuu? Ni bora kutoandika chochote kuliko kuweka bandiko linalokuaibisha kiongozi.
Sikulaumu kwa kuwa hapo ndipo uelewa wako ulipofikia. Umeona neno "Loading .....90%" ni tusi kubwaa sana eeehhh... nadhani umejidhalilisha mwenyewe ungekuwa mwenye busara ungepita tu usingesoma mambo ya kuaibisha.
 
0-49 Posts - Junior Member

50-249 Posts - Senior Member

250 - Expert member

Number of posts by the user. Soon kutakuwa na ranking ya JF Premium member (wale ambao watakuwa wawezeshaji wa JF financially.

Nadhani swali la mwisho limejibiwa katika majibu madogo niliyotoa hapo juu.

See Mwendapole . He/She is a JF Premium Member. Ni mfano tu

Thanks mkuu, nimekupata vizuri!
 
kuna kitu ambacho sijakielewa mkuu Invisible howcome mtu anaweza akapanda rep power zaidi ya laki tatu(ingawaje simaanishi nipunguziwe),jana nilikuwa na rep power around 1000 kuna mtu alipendelea contibution yangu kwenye post flani nikashangaa nimeongezewa rep power mpk kufikia 543,620?? ndo inapanda ghafla hivyo au huu ulikuwa ni mlundikano wa rep power nyingi kwangu ambao nilikuwa siutilii maanani kwa kutojua naactivati vipi.
then swali jingine umeeleza juu ya hili `Where can I see my reputation for a particular post?` hiki kitu nimejaribu kufuata maelezo yako lakini sijaona kwenye post yangu yoyote,ningependa kupata maelezo ya ziada pia kama inawezekana tafadhali na pia hizo green,red or grey colour kwenye reputation sijaona hata moja unaweza kunipa maelezo zaidi tafadhali??
cvcha mwisho
How do I see what reputation people have given me and what my current score ?hiki pia sijajua nakipatia wapi nimejaribu kuangalia at the top of the page kama ulivyoelezea ila sijapata kitu msaada wako tafadhali,natanguliza shukrani
 
Last edited by a moderator:
Mi labda niulize, neno post hapa lina maanisha nini? Post kwa maana ya mada ulizoleta (kuanzisha mada-thread), au post kwa maana ya unavyochangia mada yoyote?
 
Mkuu invissible , naombeni mrekebishe hapa mahala.

What do the green, red, and grey dots mean?
A green dot indicates that you were given positive reputation. A red dot indicates that you were given negative reputation. A grey dot indicates that the user gave you reputation, but it counted neither positive or negative.


Neither inakwenda pamoja na nor , mfano: It is counted neither positive nor negative.

Ila Either inekwenda na or , mfano: It is counted either positive or negative.

Huo ndio ulikuwa mchango wangu kwa leo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu invisible, naomba uniunganishe na mwanamwali na malila, chasha poultry farm, mzuzu na mama porojo for serious conversations. My pm is not working for sometime I real don't know the reason!
 
Back
Top Bottom