Jf Live Dialogue

Chuma

JF-Expert Member
Dec 25, 2006
1,324
43
Admin, invi..mods...na wana Bodi...nilikuwa na ushauri kuwa tuwe na live dialogue na baadhi ya wahusika ktk dola yetu(rais, Mawazir,Wabunge,Spika..etc) yetu.

kwa kuwa JF hatuna Ofisi maalum, tunaweza lichagua gazeti moja ambapo kiongozi tunaetaka kumuhoji anakuwa hapo na kila mtu anauliza maswali. Live inakuwa kwa muda wa saa 1 au 2 ambapo watu wanauliza, then anaeulizwa kunakuwepo na secretary wa Gazeti atakaekuwa anaandika majibu na kuyapost.

Sijajua kama hii technically ktk vBulletin inaweza fanyika au ikawa incorporated na website ingine, but i hope it can be...
Namna hii ya Live dialogue inakuwa na raha zake ambapo kila mtu anakuwa na haki ya kuuliza kwa kutokujulikana. Kukubali au kutokubali kwa muhusika(ie kiongozi hili ni suala jingine)

Naomba tujadiliane hili...
 
Thoughtful idea, open to discussion.
 
Back
Top Bottom