JF kuna mambo... Kumbe ni Dume lenzako

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,718
10,214
Sisi ambao tuna pupa na uroho wa wadada wa humu ndani hivi ita kuwaje siku tukigundua kuwa mdada unayechat naye kwenye pm huku ukiamini fika kuwa ni mwanamke kumbe ni lidume lenzako??
 
Hivi unadhani kila mtu ni mwanaume rijali humu ndani???!! Angalia Mkuu utakuja ibuka na mashoga :roll:
 
Hivi unaweza kuamini pm au keyboard? Kuna keyboard ya kike au kiume? Watu kwa kupenda avatar ni noma.
Jamani Bigie..nianze kuangalia hizi PM kwa macho matatu?Naanza kwa kuitilia yako mashaka!
 
Kuna binti alikuwa akinieleza kuwa yuko Mombasa, kumbe ni shoga bwana, nilifunga safari hadi huko baada ya maongezi kunoga hapa JF na kwenye simu.
 
Kuna binti alikuwa akinieleza kuwa yuko Mombasa, kumbe ni shoga bwana, nilifunga safari hadi huko baada ya maongezi kunoga hapa JF na kwenye simu.
Pamoja na kuongea nae bado hukujua sio mwanamke!?Job true true!
 
Ha ha ha haaaa!! Jibu lako linafanana na huyu jamaa kwenye AVATAR yako!!!

avatar13443_6.gif

Patachimbika, yaani uniingize mjini dume zima na midevu yangu?????
 
Sisi ambao tuna pupa na uroho wa wadada wa humu ndani hivi ita kuwaje siku tukigundua kuwa mdada unayechat naye kwenye pm huku ukiamini fika kuwa ni mwanamke kumbe ni lidume lenzako??

mwanamke utamgundua tu kaka kadri mtakavyokuwa mnachati,
asili haifichiki ndugu yangu!!!
 
Kuna binti alikuwa akinieleza kuwa yuko Mombasa, kumbe ni shoga bwana, nilifunga safari hadi huko baada ya maongezi kunoga hapa JF na kwenye simu.

Mombasa?!!!
Wangekufanya vibaya wewe huko
 
Pamoja na kuongea nae bado hukujua sio mwanamke!?Job true true!

si ndio hapo chacha,
mi nadhani mwanamke utamgundua tu,
kuna vitu fulani lazima atateleza tu, na
itajionyesha live!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom