Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,101
- 6,027
- Thread starter
- #21
Huuuh! Unanchekesha!
Nahisi harufu ya bifu hapa...hembu nijuze we Gaijin, manake
Vituko haviishi JF!!
Huuuh! Unanchekesha!
Nahisi harufu ya bifu hapa...hembu nijuze we Gaijin, manakeTbag Hatari anakushabulia kwelikweli!!!
Vituko haviishi JF!!
Unanini weye lakini?...unanshangaza!
Ukipendwa tulia, waruka ruka nini wewe. Anatafuta pa kuanzia, mwanaume akipenda shurti atafute attension yako. Bibi wee tulia, mtizame tu, Ki-pm kitasema
Unanini weye lakini?...unanshangaza!
Watu mnaichakachua sredi...we acha tu!!. Nalog off.
Gee mbona wanunua kesi weye!?
Gajin ndo nani?
Hahahaaaaaa Gee....alomtwika atamtua!He he he si unajua, siku ukiamka vizuri unakuwa na hamu akuanze ! Japo kwa lazima ....lol
Hahahaaaaaa Gee....alomtwika atamtua!
Dah..na ukongwe wangu wote hapa JF nilikuwa silijui hili.