JF hembu tujuane kwa njia hii mimi nipo

Nipo Kwenye Kambi Ya Freemason,UK.

Afu wewe !
Nimekutafutaje leo since monie !
Sina jipya!
Sina uchoyo!
Sina jingine!
Zaidi ya kukupa POLE na kichapo cha jana!
Afu najua Loya wanatoka kijiji jirani na Bishanga mamtu ya huko yanaijua sanaa mara kama remote !
Mara kama mtu anapiga ripu!
Nakuhurumiaje!
 
Afu wewe !
Nimekutafutaje leo since monie !
Sina jipya!
Sina uchoyo!
Sina jingine!
Zaidi ya kukupa POLE na kichapo cha jana!
Afu najua Loya wanatoka kijiji jirani na Bishanga mamtu ya huko yanaijua sanaa mara kama remote !
Mara kama mtu anapiga ripu!
Nakuhurumiaje!

Judgement una roho yangu wewe.
Jana ilikuwa 3-1,
na kombe nilikabidhiwa before SunDown,
Hamnaga hyo,
Wale wana wababe wao,
nikuambie?
Come :gossip: nikupeamo mchapomo.
Nami nashukuru sina jipya,
Sina nyimbo wala sina mambo.
Ila nipo tu chini ya Serikali yetu hii ya Jah-Kayer.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom