JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
MainPage13.jpg

FinalPage.jpg


Hii ndiyo Ripoti ya CAG ambayo hata State House imeridhia iwekwe wazi kwa Umma wa Watanzania.


Mdau mwingine ana nyongeza hii muhimu:
Wakati wakihangaika kutawanya taarifa ya CAG iliyonyofolewa baadhi ya kurasa, vyanzo vya habari vya ndani ya BoT vimeleta taarifa muhimu inayoonyesha uhusikaji wa mamlaka mbalimbali katika kuagiza malipo ya escrow yafanyike.

Maelezo yanatoa sura ya uhusikaji wa moja kwa moja wa ofisi ya Werema (na Werema mwenyewe) kushawishi BoT kulipa.Maelezo zaidi yanaonyesha hata Kikwete aliagiza BoT ilipe akinukuu ushauri wa Werema.

Hapo chini ni baadhi ya utetezi wa BOT. Utetezi kamili wenye kurasa 12 download attachment hapo chini
 

Attachments

  • CAG_Report_Escrow_JF.pdf
    17.3 MB · Views: 5,027
Iwekwe tu hapa ili kuizima hiyo michezo. Kwa maana ya kutangulia kabla michezo haijaenda kwa raia. Imimine hapa tujisomee.
Ova
 
Tafadhari tunaomba haraka hiyo report iwekwe hapa tena ikiwa imekamilika. Mitaani tayari report ipo tena ikiwa imenyofolewa kurasa muhimu, sasa JF tunangoja nini?
Weka mzigo hapa critical thinker tuijadili, mbichi na mbivu zifahamike.
 
Invisible mkuu unasubiria michezo iendelee ndiyo utupie humu au utaiupload taratibu kuanzia usiku huu?
 
Last edited by a moderator:
Duh Good stuff invisible. Appreciated always for this kind of contents. Safi sana yaan
 
Kwanini kurasa hizo zinyofolewe? Mbona sijaona ubaya wake kwa upande wowote?
 
Back
Top Bottom