JF Beyond Keyboards in DSM what's uuuup?

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Title yahusika saana.

Nakumbuka utamaduni wa kukutana wana JF uliasisiwa DSM na jembe Geof au Teamo, week end ilikuwa ikifika MMU karibu wote walikuwa wanakutana na kutafuna mbavu za vitoweo tofauti!tofauti pamoja na ze valuer. Valuer ilipanda chat sana hapa jamvini ikisindikizwa na msamiati wa infidelity. Enzi hizo baana thread ilikuwa ikiangukiwa na hio team within 5 minutes iko page ya 10.

Nini kimetokea siku hizi au mwakutana under carpet wengine hatujui? Hongereni Arusha na Dodoma kwa ku keep it real....

By the way wapi Teamo tangu umehama nchi kutokana na matatizo ya umeme JF dsm is not the same again.
 
Bora uje huku HQ........mambo si kama zamani........kuna mapya mengi.......tueleze ni lini unakuja rasmi
 
Matatizo ya umeme na ukata wa mifukoni! Wengi wamekimbilia Sudan ya kusini kuwekeza.
 
Wanahitaji semina ELEKEZI toka JF-HQ-Arusha!
Shida ni kwamba kipindi hicho walikurupuka, na matokeo yake ndo hayo!
 
Mlikuwa mnakutana kujadili kitu gani? mbona hatujaona output ya meeting zenu
 
Wanahitaji semina ELEKEZI toka JF-HQ-Arusha!Shida ni kwamba kipindi hicho walikurupuka, na matokeo yake ndo hayo!
Hahahahaha nahisi wenyewe watakuwa wanakusikia najua mikoba kaachiwa Aspirin, na Maxence
 
Bora uje huku HQ........mambo si kama zamani........kuna mapya mengi.......tueleze ni lini unakuja rasmi
Thanks Preta, comming home soon!! Less than a month. Home swt home. Ila kwa sasa baridi banaaaa nasikia ni -10
 
Title yahusika saana.

Nakumbuka utamaduni wa kukutana wana JF uliasisiwa DSM na jembe Geof au Teamo, week end ilikuwa ikifika MMU karibu wote walikuwa wanakutana na kutafuna mbavu za vitoweo tofauti!tofauti pamoja na ze valuer. Valuer ilipanda chat sana hapa jamvini ikisindikizwa na msamiati wa infidelity. Enzi hizo baana thread ilikuwa ikiangukiwa na hio team within 5 minutes iko page ya 10.

Nini kimetokea siku hizi au mwakutana under carpet wengine hatujui? Hongereni Arusha na Dodoma kwa ku keep it real....

By the way wapi Teamo tangu umehama nchi kutokana na matatizo ya umeme JF dsm is not the same again.

Labda mbadilishe agenda za vikao pamoja na venue,

Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna watu wamechoka kukamua valuer na vipapatio, wanahitaji kilaji kipya na kiwanja kipya.

Karibuni kwa jimmy kilauri Lumo kiwanja ncha ukweli.
 
Bora uje huku HQ........mambo si kama zamani........kuna mapya mengi.......tueleze ni lini unakuja rasmi

Raha ya arachuga si kuhamia huko,

Unakuja kwa wiki mbili tatu halafu unasepa kurudi home ndo inapendeza

Baridi mmeizoea wenyewe!!
 
Title yahusika saana.Nakumbuka utamaduni wa kukutana wana JF uliasisiwa DSM na jembe Geof au Teamo, week end ilikuwa ikifika MMU karibu wote walikuwa wanakutana na kutafuna mbavu za vitoweo tofauti!tofauti pamoja na ze valuer. Valuer ilipanda chat sana hapa jamvini ikisindikizwa na msamiati wa infidelity. Enzi hizo baana thread ilikuwa ikiangukiwa na hio team within 5 minutes iko page ya 10.Nini kimetokea siku hizi au mwakutana under carpet wengine hatujui? Hongereni Arusha na Dodoma kwa ku keep it real....By the way wapi Teamo tangu umehama nchi kutokana na matatizo ya umeme JF dsm is not the same again.
Kweli umenena la maana sana.
 
Hahahaaa!
Tumekwenda beyond keyboard long time mzazi ndo maana huoni mialiko kivile. Tupo stage nyingine.

Wana Arachuga, ni ruksa kupata update za vichwa vya dar and all that has happened tangu tulivyokuja kuwatembelea vijana wa Arachuga december last yr.

Ni kweli tumekuwa chini ya zulia kiaina, lakini ni kwa sababu maalumu.

Kwa update zaidi, pm mimi, teamo, gy, au mwanajamiione.

Onyo: Msimtafute Asprin, atakuwa amelewa hataweza kuwajibu, onyo hili litadumu kwa mwezi mmoja tu.
 
Wengine wakikumbuka zamani wanapigwa madongo na baadhi ya watu wachache lakini hao watu wachache wakikumbuka zamani yao ni kama it's okay. I'm jut sayin'....
 
Me understand DON'T!! Fafanua umetumia lugha gongana
 
Hahahaaa!
Tumekwenda beyond keyboard long time mzazi ndo maana huoni mialiko kivile. Tupo stage nyingine.

Wana Arachuga, ni ruksa kupata update za vichwa vya dar and all that has happened tangu tulivyokuja kuwatembelea vijana wa Arachuga december last yr.

Ni kweli tumekuwa chini ya zulia kiaina, lakini ni kwa sababu maalumu.

Kwa update zaidi, pm mimi, teamo, gy, au mwanajamiione.

Onyo: Msimtafute Asprin, atakuwa amelewa hataweza kuwajibu, onyo hili litadumu kwa mwezi mmoja tu.

nidai kitochi........
 
Wanahitaji semina ELEKEZI toka JF-HQ-Arusha!TShida ni kwamba kipindi hicho walikurupuka, na matokeo yake ndo hayo!
hahaha PJ bana mmekua mmeanza kiburi eh,,,, tatizo watu wa Arusha mkija dar mnakuja kimyakimya kama mnadaiwa vile; sie bado tupo pale pale jj pa ukwe'ee
 
Back
Top Bottom