Jf-arusha wing...safari updates

Kaka PJ.............. can I join you guys? But nafasi yangu ni tarehe 22 kwenda mbele.......sijui itawezekana?
Ni bila shida yoyote.
Kwa namna hiyo, basi jitahidi ili 21/12 uwepo Ars.
Ni furaha kubwa sana kama utakuwepo.
uZURI NINA CONTACT ZAKO, WILL LET U KNOW KILA DEVELOPMENT..
My wonderful dada, i count on you!
 
Aksante Kaka yangu nitajitahidi.......Thank you and others ambao mmeibuni this idea............ at least this year I can have a different way to celebrate X-mas. God Bless You guys
 
Same to you dear.
To your pleasure honey.
 
Wakuu,

Nitakuwepo, lakini tarehe zinanibana. Nadhani nitakuwa nimerejea nchini by 23rd, tutawasiliana na mkuu PJ, I wish ingekuwa 26th December au 27th hapo ingekuwa rahisi sana kwangu. Nitajitahidi nijiunge nanyi
 
PJ naungana na wewe kabisa. kama unahitaji msaada wa kuandaa hii shughuli mzee mimi nipo hapa moshi nitajumuika na wewe. Itinerary, malazi wapi, usafiri nk. Ni PM kwa mawasiliano zaidi. Ila kwenye list nimo! I need to recharge my battery man!
 
NB:
Members wa nchi nzima mtakaokuwa Arusha/Moshi kwaajili ya X-MAS au LIKIZO au vyovyote mnakaribishwa sana ili tuungane pamoja!
Ngongo.. Rutashubanyuma, na wengineo, tunahitaji sana inputs zenu!

Wazo hili lina mashiko ya uhakika.....................tatizo nionavyo............ni Preta...........hashikiki................................
 
Wakuu,

Nitakuwepo, lakini tarehe zinanibana. Nadhani nitakuwa nimerejea nchini by 23rd, tutawasiliana na mkuu PJ, I wish ingekuwa 26th December au 27th hapo ingekuwa rahisi sana kwangu. Nitajitahidi nijiunge nanyi

Hata hivyo ni mapendendekezo tutakubaliana tarehe rasmi kwa kufikia matakwa ya wengi. Au unashauri nini PJ?
 
Tukitaka kupata watu wengi washiriki iwe baada ya X-Mas........................si wajua kuwa X-Mas wengine lazima tukahiji vijijini?
 
Wakuu,

Nitakuwepo, lakini tarehe zinanibana. Nadhani nitakuwa nimerejea nchini by 23rd, tutawasiliana na mkuu PJ, I wish ingekuwa 26th December au 27th hapo ingekuwa rahisi sana kwangu. Nitajitahidi nijiunge nanyi

idea nzuri sana mkuu.....nadhani mkuu Nguli na Mwanajamione kwa tarehe hizi itakuwa imekaa vizuri kwao
 
Nimeongea na PJ, ataongea nanyi kwa kirefu zaidi. The idea I gave him might be of great help, kama kutakuwa na members from Dar then itabidi ni-drive tutumie gari moja, nilipanga kutafuta flight ya 26th or 27th kutegemeana na siku mtakayopanga rasmi
 
Wazo hili lina mashiko ya uhakika.....................tatizo nionavyo............ni Preta...........hashikiki................................

wewe tu ndio hujanishika....lakini katika hao watano waliokuwepo kwenye kikao mimi nilikuwa namba tano.....nitafurahi sana kukuona safarini
 
Nimeongea na PJ, ataongea nanyi kwa kirefu zaidi. The idea I gave him might be of great help, kama kutakuwa na members from Dar then itabidi ni-drive tutumie gari moja, nilipanga kutafuta flight ya 26th or 27th kutegemeana na siku mtakayopanga rasmi

sawa....tutakuwa tukiwafahamisha kila hatua tutakayofikia
 
wewe tu ndio hujanishika....lakini katika hao watano waliokuwepo kwenye kikao mimi nilikuwa namba tano.....nitafurahi sana kukuona safarini

Na huu uzee nitaweza mikiki mikiki ya safari kweli?
 
hutashindwa bana....vizee vinatokeaga Colorado na Alaska huko vinafanya safari na vinarudi kwao wewe ndio ushindwe....au unataka kubisha kuwa huvionagi na wewe unaishi jiji la kitalii?
 
Hata hivyo ni mapendendekezo tutakubaliana tarehe rasmi kwa kufikia matakwa ya wengi. Au unashauri nini PJ?

Bingwa, Eeka Mangi,
Kama ulivyogundua, kitu chochote ni lazima kianzishwe na wachache.
Sasa ktk uchache si rahisi mkaweza kupanga kila kitu kikapita bila marekebisho.
Ushauri wenu ni mzuri, na una'base kwny sbb za msingi na za kisayansi, kwahiyo sisi hatuna objection yoyote na hilo.
Nyie jipangeni kwaajili ya aidha 26 au 27th.,
 
ingependeza tuwe tunafanya get together ya wana JF wote mara moja kwa mwaka . sio mbaya wakakaribishwa wana JF wote wenye uwezo wakuja Arusha tuka burudika pamoja . Mungu ibariki JF na watu wake.
 
Back
Top Bottom