JF anzisheni kura ya maoni plz

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
naomba jf muanzishe kura ya maoni kuuliza kama uchaguzi ungefanyika leo mambo yangekuwaje. hili lingekuwa zoezi la kila miezi mitatu
 
naomba jf muanzishe kura ya maoni kuuliza kama uchaguzi ungefanyika leo mambo yangekuwaje. hili lingekuwa zoezi la kila miezi mitatu

ahapanan.

iaandikwe hivi:

je unakrubali serilakili iliyoko madrakani ipindluliwe?

(a) kijeshei
(b) kwa nguv ya unmma?
 
mbona matokeo ya kura za maoni yameshatoka.
inaelekea hufwatilii wewe

Matokeo ya kanda ya ziwa (mikutano ya CDM na maelfu ya waandamanaji) yaliyomfanya JK abembeleze wanainchi ndio physical results hamna uchakachuaji pale.
 
naomba jf muanzishe kura ya maoni kuuliza kama uchaguzi ungefanyika leo mambo yangekuwaje. hili lingekuwa zoezi la kila miezi mitatu

Mbona Kikwete alishakataliwa na wananchi kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi uliopita ila matokeo hayakuheshimiwa? hatuhitaji kura za maoni kwa sasa, tunahitaji vitendo tumuondoe madarakani kwa nguvu ya UMMA na sio nguvu ya CHADEMA, hakuna serikali ambayo inaweza kuondolewa madarakani bila wananchi kushikamana na na kuviweka vyama vyao pembeni na kutambuwa shida tunazozipata sio shida za vyama, hapo tutafanikiwa, kumbuka chama cha Hosni Mubarak kilishinda kwa asilimia 98% kwenye uchaguzi, lakini miezi miwili baadae wananchi walisema sasa basi yatosha, kama noma na iwe noma na ikibidi ile kinoma, yu wapi mubarak leo? tuweke vyama na dini pembeni tujipatie uhuru wetu, maana sisi wote sasa hivi ni mateka ndani ya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom