Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

The head of Egypt's army has given a TV address, announcing that President Mohammed Morsi is no longer in office.
Gen Abdul Fattah al-Sisi said the constitution had been suspended and the chief justice of the constitutional court would take on Mr Morsi's powers.
Flanked by religious and opposition leaders, Gen Sisi said Mr Morsi had "failed to meet the demands of the Egyptian people".
Anti-Morsi protesters in Cairo gave a huge cheer in response to the speech.
The army's move to depose the president follows four days of mass street demonstrations against Mr Morsi, and an ultimatum issued by the military which expired on Wednesday afternoon.
It took the Muslim Brotherhood eight decades to come into power. It's unlikely they ever considered it would only last for a year.
The crowd in Tahrir Square roared its approval of General Sisi's eagerly anticipated and largely expected announcement. Millions of Egyptians from all walks of life have felt ignored and belittled since Mr Morsi gained power - he spoke, they say, for his party alone.
The army does not want the world to call this a coup. But conventional wisdom and politics tells us this was a military coup.
As the statement was read, an Egyptian woman standing next to me said: "There is jubilation on the streets but do they understand what's behind it?" In truth perhaps no one does yet.
TV stations belonging to Mr Morsi's Muslim Brotherhood went off air at the end of the speech and state news agency Mena said managers at the movement's Misr25 channel had been arrested.
Minutes later, a notice went up on Mr Morsi's Facebook page denouncing the army move as a "military coup".
The statement asked Egyptian citizens - both civilians and military - to "abide by the constitution and the law and not to respond to this coup".
The ousted leader's current whereabouts are unclear. However, earlier reports said security forces had imposed a travel ban on both him and other leading figures in the Muslim Brotherhood.


'Roadmap' for the future
General Sisi said on state TV that the armed forces could not stay silent and blind to the call of the Egyptian masses.
He spoke of a new roadmap for the future, and said that the chief justice of the Supreme Constitutional Court, Adli Mansour, would be given the task of "running the country's affairs during the transitional period until the election of a new president".
After Gen Sisi's address, both Pope Tawadros II - the head of the Coptic Church - and leading opposition figure Mohammed ElBaradei made short televised speeches about the new roadmap for Egypt's future which they had agreed with the army.
Mr ElBaradei said the roadmap aimed for national reconciliation and represented a fresh start to the January 2011 revolution.
"This roadmap has been drafted by honourable people who seek the interests, first and foremost, of the country," added Pope Tawadros.



Fireworks

The army is currently involved in a show of force, fanning out across Cairo and taking control of the capital, BBC correspondent Quentin Sommerville reports.
He described seeing eight armoured personnel carriers heading for Cairo University in Giza, where one of the main pro-Morsi demonstrations was being held.
The tens of thousands of anti-Morsi protesters on the streets of Cairo are now celebrating, with fireworks lighting up the night sky and car drivers honking their horns in excitement.
But Morsi supporters elsewhere in the city are reported to have shouted: "No to military rule.''

Source: BBC News
. Duh kazi ipo!
 
Morsi alipoingia madarakani.
520133074157.jpg

Mohamed Morsi

2013-635078525336457453-645_resized.jpg

Siku Morsi alipoapishwa rasmi kuwa raisi wa Misri.

2013-635078526468832417-883_resized.jpg

Morsi akipungia wananchi baada ya kuapishwa.

2013-635078526051543117-154_resized.jpg

Hapa akiwa na wakuu wa SCAF Field Marshal Mohamed Hussein Tantawi (kushoto) ambae aliondolewa na nafasi yake kuchukulia na Abdul Fatah Al-Sisi na Luteni Generali Sami Hafez Anan (kulia)

2013-635078555376919165-691_resized.jpg

Morsi akiingia uwanjani tayari kuapishwa.

2013-635078529297351889-735_resized.jpg

Hii ndio katiba iliyotengenezwa ambayo Morsi aliongeza mambo mengi yaliyoudhi wananchi.
 
Katika maisha yangu nilikuwa nikisikia tu mapinduzi ya kijeshi, mh. raisi wa Egpty amepinduliwa kufuatia jeshi la nchi hiyo kumpa saa 48 raisi morsy kutafuta suluhu ya mgogoro na wanasiasa anaokinzana nao.Lakin raisi morsy alikaidi agizo hilo la jeshi na baada ya muda uliopangwa kupita bila ya raisi kutekeleza, ndipo jeshi lilipoamua kuchukua hatua ya kumpindua raisi huyo.
 
US of A has ordered evacuation of its diplomats from egypt.
Clash are being reported in alexandra.
Five Tv stations have been ordered to shutdown in egypt by military leader.
It has began.
 
US of A has ordered evacuation of its diplomats from egypt.
Clash are being reported in alexandra.
Five Tv stations have been ordered to shutdown in egypt by military leader.
It has began.
ayaa!!mi sitaki wafikie huko tena.
 
Kinachowafanya Wamisri wana-win ni kimoja tu. Wanapopanga maandamano au mgomo wa kitaifa wanahakikisha waandishi wa habari wa kimataifa wapo kibao na jambo hilo linaripotiwa na vyombo vyote vya habari ulimwenguni. Shida ya Tanzania ni kwamba mambo yote yanaishia uvunguni!!
 
Al jazeera tv has been raided and somestaff arrested,it has been put offair.
Other tv stations raided also,it is beginning to look like mtwara all over huh?
 
Imethibitishwa kwamba bwana Adry Mansoor ndie atakaeapishwa kuwa raisi wa serikali ya muda ya Misri.
 
Al jazeera tv has been raided and somestaff arrested,it has been put offair.
Other tv stations raided also,it is beginning to look like mtwara all over huh?

Ni vituo vingi tu vimefungwa pia kituo cha TV cha Muslim Brotherhood nacho kimefungwa.
 
Technically ni military coup kwa sababu wananchi wameshinikiza tu kuondolewa kwa Morsi; hawakufanya kama walivyomfanyia Mubarak ambaye aliondolewa purely kwa shinikizo la wananchi. Leo hata hivyo jeshi ndio limeingia kati which to me naamini hili ndilo lililopaswa kufanyika wakati wa Mubarak.

Lakini pia in hindsight unaweza kuona kuwa jeshi lilitaka kuimaliza MB na haiwezi kurudi tena na nguvu iliyokuwa nayo. Masaa ishirini na nne yajayo yataamua kama mapinduzi haya ya kijeshi - si ya kiraia - kwani raia hawawezi kususpend constitution na kumuondoa summarily rais yanakuwa ya damu au bila damu.

Conventionally and politically tunaweza kusema kuwa ni military coup. Muslim Brotherhood wamechukulia kilichofanyika kama ni military coup

Lakini jeshi la Misri limekataa kabisa kuwa kilichofanyika ni military coup. Generali Sisi kadai kuwa it was merely some sort of technical intervention. Probably, kasema hivyo, ili Marekani wasisitishe msaada wao wa $1.3 billion kila mwaka?

Tukisema kuwa it was entirely a military coup tutakuwa tuna ignore the will of the people. Kama Marekani itaamua kusitisha huo msaada kwa kigezo kuwa kulichotokea ni military coup, then watakuwa wame-undermine the will of the people.

Kama ilikuwa military coup where would we put the work of the grassroots Tamarod? Morsi had failed to meet "the demands of the masses". Then, the people "called for help" and the military "could not stay silent".

Hii imenikumbusha mwaka 2009 wakati Rais wa Honduras alipoandolewa madarakani. Marekani ilidai kuwa politically aliondolewa through military coup, lakini ikadai ita-withhold any formal legal determination as to whether it was actually a military coup.

Baadae Marekani ilisimamisha misaada kwa Hondurus lakini kwa sheria nyingine kabisa. It may also happen to Egypt.
 
jeshi la misri leo limeweka maslahi ya nchi na wananchi wa misri mbele na kuichukua nchi mikononi mwao.
ninachojaribu kuangalia ni jinsi gani majeshi ya misri yalivyoweza kuweka maslahi ya wanasiasa na vyama vyao
pembeni na kutii sauti ya wananchi waliokuwa wakilalamikia utawala mbaya wa Rais Morsi ukilinganisha na hapa kwetu ambapo jeshi limeamua kuchagua kulinda maslahi ya wanasiasa badala ya kuweka mbele maslahi ya nchi na wananchi
ambao wamekuwa wakilalamikia utawala mbaya wa ccm ambao umekuwa ukisaini mikataba mibaya ambayo hainufaishi wananchi. naomba jeshi la wananchi lijifunze kupima na kuweka mbele maslahi ya wananchi badala ya wanasiasa.
 
Conventionally and politically tunaweza kusema kuwa ni military coup. Muslim Brotherhood wamechukulia kilichofanyika kama ni military coup

Lakini jeshi la Misri limekataa kabisa kuwa kilichofanyika ni military coup. Generali Sisi kadai kuwa it was merely some sort of technical intervention. Probably, kasema hivyo, ili Marekani wasisitishe msaada wao wa $1.3 billion kila mwaka?

Tukisema kuwa it was entirely a military coup tutakuwa tuna ignore the will of the people.

Na pia jeshi halijatwaa madaraka hapa (though wapo watao argue kwamba behind the scenes they are calling the shots).

Hii siyo military coup kama zilivyo zingine. Kama ni coup basi ni coup ya aina yake hii - ambayo wananchi kwa msaada au kwa kushirikiana na jeshi lao wamemuondoa rais wao.

Looks more like a revolution to me than a military coup.
 
Na pia jeshi halijatwaa
madaraka hapa (though wapo watao argue kwamba behind the scenes they
are calling the shots).

Hii siyo military coup kama zilivyo zingine. Kama ni coup basi ni coup
ya aina yake hii - ambayo wananchi kwa msaada au kwa kushirikiana na
jeshi lao wamemuondoa rais wao.

Looks more like a revolution to me than a military coup.


Personaly, sioni mantic yeyote ya kutumia neno MILITARY COUP ... kabisa. Kwa sababu initiation na motivetion ya msingi ya kumuondoa Rais has nothing to with the Military. No single military personel had set the initiotion to overthrow the President. Any one wants the Word COUP? Let it be PEOPLES COUP!!!!!!!!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Similar Discussions

Back
Top Bottom