Hilo Jeshi Siri yako lilikuwa Linafadhiriwa na Israel Nyerere alipovunja uhusiano nao kwa Nguvu ya BAKWATA waisrael Wakaenda Zao Tukabaki hoe hae... Nadhani Tulichagua Upande Mbovu... Lile Taifa Ukilipinga! Mungu ataku.... Tafuta Maandiko Utapata Jibu...
ina maana mpaka leo bongo haina ubalozi wa israeli?
Hiv/aids
Je,Kweli kuna haja ya kuanzisha JKT ktk kizazi hiki cha bongo.com iwe lazima kama zamani hizo? Ila mimi nimelipenda sana japo nahisi litatengeneza waathirika wengi sana!
Je,Kweli kuna haja ya kuanzisha JKT ktk kizazi hiki cha bongo.com iwe lazima kama zamani hizo? Ila mimi nimelipenda sana japo nahisi litatengeneza waathirika wengi sana!
From economic point of view, hakuna haja ya kuliingiza taifa katika gharama za JKT kwa mujibu wa sheria. Hakuna haja kwa hali ya uchumi ilivyo.
Uzalendo hautakuja kwa kuwapeleke watoto wetu JKT, bali kwa viongozi kuonyesha mfano. Hakuna atakaye kuwa lofa asiliibie taifa wakati anaona akina vijisent , MPs na posho, watotot wa wakubwa wanajimilikisha mali za wote etc. wanajizolea cha kwao. Hakuna mjinga wa uzalendo wa hivyo kizazi hiki!!!
Hilo Jeshi Siri yako lilikuwa Linafadhiriwa na Israel Nyerere alipovunja uhusiano nao kwa Nguvu ya BAKWATA waisrael Wakaenda Zao Tukabaki hoe hae... Nadhani Tulichagua Upande Mbovu... Lile Taifa Ukilipinga! Mungu ataku.... Tafuta Maandiko Utapata Jibu...
ina maana mpaka leo bongo haina ubalozi wa israeli?
Dini yako ndio inakufundisha hayo?acha udini wewe!
Uhusiano na Israel umevunjwa miaka ya 60 wakati intake ya mwisho ya JKT ilikuwa miaka ya 90...
Hiyo miaka yote hapo alikuwa anafadhili nani...
Eti Israel, mnawapenda sana wale magaidi eh?
hiv/aids