Jerry Silaa na Kampuni ya 'Green Waste Pro Ltd'

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Hivi Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa ana mahusiano yeyote na Kampuni ya Green Waste Pro Ltd iliyopewa kazi na Manispaa hiyo kufanya usafi katika baadhi ya maeneo ya Jiji?! Kwa wale walio karibu nae mtujuze tafadhali! Wengine tunaungaunga dots tu katika kulitafakari hili.

/2012/06/29/green-waste-pro-ltd-yakusudia-kuifanya-ilala-kuwa-ya-kwanza-kwa-usafi-jijini-dar/

https://m.facebook.com/GreenWasteProLtd?ref=stream&refid=17&_ft_=fbid.212776238860862
 
Jery Silaa anamiliki Magreda Kadhaa ambayo tenda za Kutengeneza Barabara zote ni zake kwa hiyo sitashangaa kama hiyo Kampuni ana Nasaba nayo.
 
Hivi Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa ana mahusiano yeyote na Kampuni ya Green Waste Pro Ltd iliyopewa kazi na Manispaa hiyo kufanya usafi katika baadhi ya maeneo ya Jiji?! Kwa wale walio karibu nae mtujuze tafadhali! .
Huwezi kujua bhana, ukiona mtu kaingia kamati kuu ya CCM ujue lazima ana mabomu kibao ya kifisadi anayaficha chini ya kivuli cha kamati kuu yasilipuke.

Muda wao umebakia kidogo maana tukikamata nchi yetu na kumuondoa mkoloni mweusi CCM inaanza kamata kamata mwizi meeen
 
Haka kajamaa ni kama ka-house boy ka ikulu..sasa hivi kanajikomba sana na Ikulu.
 
Kama kampuni inapiga kazi sioni shida yoyote hapo

Kaka!... Hata ipige kazi kiasi gani iwapo inamilikiwa na mtu anayepitisha makampuni yanayogombea tenda patakuwa na komflict of interest. Pia ni kinyume na maadili ya utumishi wa umma!.. Ni yale yale ya mkurugenzi wa TANESCO na kampuni ya mkewe na wanawe!
 
Hapana kampuni hiyo ni ya william ngereja mbunge wa jimbo la sengerema..... nitakaye mtoa 2015.
 
Kama kampuni inapiga kazi sioni shida yoyote hapo

na kama tender hiyo ilipatikana kihalali na hakuna aliyehujumiwa itakua ni sawa,otherwise atakua amekiuka mojawapo ya kanuni za chama chake,inayosema cheo ni dhamana sitatumia kwa maslahi yangu.
 
Muoneeni huruma jamani, CCM waliona waweke analau wauza sura maana zee la Gombe lingeitia giza kamati nzima...si unajua M/Kiti alichaguliwa kwa sura na si uwezo?...
 
Jery Silaa anamiliki Magreda Kadhaa ambayo tenda za Kutengeneza Barabara zote ni zake kwa hiyo sitashangaa kama hiyo Kampuni ana Nasaba nayo.

ulitaka amiliki BARMED nyie vipi jamani mlikuwa wapi uko nyuma tatizo sio nyie ni channel za baba zenu mngekuwa kwenye channel na nyie mngekuwa na malori na waala tusingewaona huku embu tuacheni na sio magreda tunanunua na mitaa wiki ijayo
 
Back
Top Bottom