Jerry Silaa azidi kuiponda CHADEMA, awaita wavuta bangi

...na wenyewe wakianza kusema anatumia ofisi vibaya (ngono ofisini) sijui atajisikiaje???
 
Nilichojifunza ni kwamba CCM wanaiogopa sana CHADEMA kuliko wananchi wa kawaida tunavyojua.
1. wale wote walioonyesha upinzani kwa CDM kama nape,mchemba wanashangiliwa na kupewa nafasi za juu.
2. mwana CCM yeyote hata akifanya mambo kinyume na maamuzi ya vikao,hawamtimui wakihofia kuhamia chadema.
3. chombo au taasisi yoyote itakayoonyesha kuitajataja chadema,itafuatiliwa sana na kupata vitisho.
4. Kwa utafiti wangu mdogo wa harakaharaka, zile sehemu zilizopigiwa kelele na CHADEMA mfano maliasili,ardhi n.k mambo yamebadilika sana na wengine wansema hawa jamaa wakijua itakuwa soo.njia za panya zimeziba kiasi fulani.
5. mwana CCm yeyote aneyetaka kupata umaarufu lazima aitumie CDM kupata umaarufu wa haraka. hapa ndo tunawakuta wakina Jerry

Nionavyo mchango wa cdm ktk mabadiliko ya nchi yetu sio wa kubeza na ni tangible ! Daima tutawakumbuka kwa kazi yenu. Hongera M4C
 
Huyu anacho taka ni kujibiwa na viongozi wa cdm hana tofauti na Mwigulu Nchemba! Naona anatafuta cheo kwenye cc yao ili aonekana ana pambana na cdm! Hana lolote ni mwepesi tu!
Cheo keshapewa ni mjumbe wa CC. Yaani ukitumia mdomo wako kutukana CDM na Dr Slaa ujue lazima utapewa cheo.
Kuna watu wanafurahi sana uwepo wa Dr Slaa maana unawasababishia kupata vyeo kwa kutumia ujinga na matusi tuu
 
Last edited by a moderator:
Wadau naomba kuuliza, hivi siasa iliyokomaa ni ile yenye vioja badala ya hoja.?Nchi ya wajinga kweli kweli!! Naumizwa kuongozwa na wajinga kama akina Jerry. Sasa kama yeye ni Jerry, Tom ni nani sasa?
 
Watanzania waangalieni sana hawa wanaccm na sera zao kuvuta bangi na unga halafu walinganisheni na wapinzani na sera za MITAALA YA ELIMU FEKI,MAJI, NISHATI, na nyingi nyingone je ni wapi wanafaa 2015 sijawai hona wala sikia hoja ya msingi kutoka ccm kama sio bangi,unga na pombe kama huyo jerry slaa lakini mie naona kama ndo muhimu maana watanzania tunaona kwahiyo waropokaji kama hao ni muhimu sana kwenye changes
 
kilichompeleka ukonga ni maji taka au campeni za 2015?uzuzu mwingine bwana yapo maovu yake mengi akae kimya huyo
 
Kichaa akichukua nguo zako wewe ukiwa bafuni, nawe ukatoka mtupu na kumkimbiza!! wewe utaonekana kichaa na kichaa ni mzima!! hivvyo M4C with no apology....................... msipoteze muda kuchangia hoja kama hizi..............
 
Huyu bwana mdogo najifanya najua sana kumbe hata maziwa hayajakauka mdomoni. Dr (wa kweli) Slaa ni mashine kubwa hata hafikii asilimia 5 yake. Aendelee na ndoto za alinacha za kifo cha CHADEMA. Hiki chama wa ukombozi hakifi kitakapowaingiza gezezani magamba kwa makosa yao. Huyu amelewa vyeo hivyo anafyatuka tu kila kukicha. Kwanza Munispaa yake bado chafu na sanamu zake za mabati ni ufisadi mwingine piua. Hili atajibiwa vizuri tu na CDM. Huyu ni mwepesi hatakiwi hata kuzungumzwa katika JF.
 
Huyu Si mwana Cameroon ...fresh ....na kijana wa WAMA. ,lazima apate cheo .
 
Meya wa Ilala, Jerry Silaa ameendeleza siasa zake za majitaka leo Majumba Sita (ukonga) ambako alikutana na vijana pale njia panda ya Segerea na kuwaambia CCM itawaletea mabadiliko makubwa 2015 kama wataichagua tena.

Amesema Dr. Slaa amechoka akapumzike na hela za Marurupuru ya chama 154millioni alizopora.

Amezidi kubwabwaja kwamba CHADEMA ni chama kinachokufa kisichokuwa na wafuasi kama inavyodai isipokuwa wavuta bangi na wanywa viroba. 2014 Tutakuwa tumesha isambaratisha........vijana makini ni wale wanaiunga mkono CCM.

Jerry hatimaye alitualika kwena naye Hilltech Bar ambako vinywaji vilikuwa ni vya kumwaga.

Source: Mimi Mwenyewe eneo la tukio

Bangi hizi hapa:

Halafu waliolewa viroba wanashangilia.
 
Jerry Silaa amelewa fedha za mafisadi.

Sasa hivi anaweweseka na anajua weakness ya CCM; ukizungumza hovyo juu ya Chadema ndio unapata cheo.
 
Back
Top Bottom