Jengo la TTCL Makao Makuu linaungua Moto, umewaka ghorofa ya sita, na linaendelea kuungua.
Gari ya Zima moto ilitupita njiani kwa kasi lakini wamefika na sisi tuliokuwa kwenye daladala tumeshafika, Zimamoto hao wamekaa pembeni hawajaanza kuzima moto, sijaelewa wanasubiri amri gani waanze maana jengo linazidi kuwaka, tunafanya utaratibu wa kuweka picha.
--------------------

napita karibu na jengo la ttcl xtelecoms kuna moto umetokea ghorofa ya 6 inasemekana ni idara ya HR fire ndo wamekuja ila hawana msaada wowote mana magari yao ngazi hazifiki gorofani moshi mkubwa unafuka bado
NI EXTELECOMS, nimefanikiwa kufika kuna ubishani mkubwa kati ya wafanyakazi wa TTCL na wale waliokuja kuzima, kulikuwa na kasoro za kikosi cha zimamoto kushindwa kuwa na maji yenye presseure yaweze kupanda, hivyo jengo bado linaungua vyumba vitatu kwa kasi, kampuni binafsi ya Ultimate Security ndo wanaingia na gari yao