Jenerali Ulimwengu: Kikwete ni 'bingwa wa kupasia mipira'

Mleta mada unatafsiri sivyo, hivi nakuuliza ukiwa team moja na Messi, kweli utaacha kumpasia mpira afanye vitu vyake?

Buck Passer sio maana yake kupasia mpira, buck passer ni kumrushia mtu mwingine lawama, nauliza hivi, kwako na kwa Ulimwengu, tena huyu Ulimwengu naona uzee unamjia vibaya na ule mshiko kutoka kwa Rostam unampelekesha, kama Rais na katiba inakulinda na lawama zote, kwanini usiwe na wabeba lawama? Ikiwa una wabeba risasi (body guards) ambao wako tayari kupokea risasi kwa ajili yako, itakuwa wapokea lawama?

Halafu lawama ipi ambayo Rais kaibebesha kwa mwingine? ule U Rais wenyewe pekee ni lawama tupu. Nioneshe Rais mmoja duniani asiyekuwa na lawama.

Mengine ni pumba tu.

Natamni wehu wa ukubwani ungekuwa unaonekana hadharani!
 
Kwa mtazamo wangu, kwa kamanda huu mzigo kwake ni gunia la misumali. Na kinachom-cost zaidi ni kale katabia ka kutaka kutoa majibu ya kufurahisha siku zote. Bravo Ulimwengu umesema kweli. FaizaFoxy dadaangu sometimes kubali ukweli wa mambo, mkuu mzigo umemlemea tumsaidie.
 
hope akina FF nao wameshaongezewa posho zao na magamba kwa kuwatetea hata pasipostahili maana kazi ni ngumu sana kuifanya akili timamu isitambue ukweli.
 
Wanajamvi:

Wiki hii katika gazeti la The East African, jenerali Ulimwengu kamtaja JK kama ni 'bingwa wa kupasia mpira', kila anapopigiwa pasi -- akimaananisha hili sakata la posho za wabunge kulirudisha Bungeni, ikiwa ni namna ya utendaji wake unaoonyesha kushindwa kwake kutoa maamuzi mazito asionekane mbaya kwa mtu au kundi lolote..

Nime-highlight hapo kwenye red.

MPs need money from taxpayers to bribe voters, what excuse do the doctors have?

By Jenerali Ulimwengu

These past few weeks in Tanzania have been all about allowances, perks and entitlements, and the shouting matches involving the various claimants and their counters have been singularly inelegant.

We have had a strike mounted by doctors and other medical staff over allowances they have been demanding for quite some time now, allowances the government claims it cannot afford to pay because, it says, it simply does not have the money. The doctors have stuck to their guns and the government has threatened the striking medics with expulsion. It has also called in military doctors to fill the vacancies left by the strikers. One wonders who has filled the vacancies where they came from.

Parallel to this, a wrangle was going on over the decision by Members of Parliament to hike their "sitting allowances" by more than 100 per cent, which has been noisily opposed by members of the public who believe their legislators are already overpaid as it is. Most members - very few have opposed the move - claim they need the raise because they have to dish out cash to their constituents to help with paying school fees or medical costs. Members of civil society argue that it's not the job of MPs to distribute cash, and at any rate it would be impossible to regulate and standardise that kind of activity.

Then at some stage the matter was referred to President Jakaya Kikwete, who is empowered to determine whether allowances should be raised, and after a while both Prime Minister Mizengo Pinda and the Speaker of the House announced that the president had sanctioned the increase, the Speaker adding that the new allowances had indeed been paid since last November. Upon which the President's Office issued a slightly annoyed statement, saying categorically that the president had done no such thing, that he had only counselled the premier to employ wisdom while handling the matter.

It was clear that the president, passer of the buck par excellence, was passing this one too. He must know that what the MPs are trying to do is extremely unpopular, and the populace is angered by their representatives' perceived greed. At the same time, he wants to remain on good terms with the MPs, for what, I do not know. It's this that the prime minister may have understood before he decided to call his boss's bluff by "employing wisdom" and declaring that the president was in agreement.

It's a bizarre situation, to say the least, when the government does not seem to be together on such a sensitive issue. It's also bizarre to hear grown-ups argue that they need an increase because they have to give money to their voters, that is to say, since they have been dishing out money to get votes to such an extent that nowadays vote buying is the norm, therefore the taxpayer aka the voter has to cough up higher allowances payable to his honourable representative so that this latter can use it to bribe the same said voter/taxpayer. You do not have to be crazy to be mad.

One gets the impression that the country has fallen victim to a multi-episode hold-up mounted by its leaders. In the meantime, people continue to die unnecessarily because the government, inexplicably, cannot see the contradiction between what it is conceding to parliamentarians and what it is denying the nation's lifesavers.

It may take time to restore sanity in our midst, but we can start by reminding our legislators and other politicians that they are supposed to be our servants, and that servants never fix their own pay; that they do not have to be MPs, and if they think what they are getting is not enough they are free to go do something else; that they are not indispensable but doctors are, and that if the people of this country were to choose between giving more perks to their MPs and acceding to the doctors' demand, there would be no prizes for guessing which one they would choose.

Chanzo: The East African

huyu mswahili anataka kuonekana mzuri kwa kila m2 na kila upande hajui kwamba Urais ni kazi ya lawama haina kuoneana aibu wala ushikaji lazima upendwe na kuchukiwa ukiwa Rais...Fanya the right thing na utakua na nguvu ya wananchi ambayo ni nguvu kubwa kuliko hivyo vikundi anavyovikumbatia na kujaribu kuvifurahisha...hii inaonyesha huyu jamaa aliwekwa tu na watu kama ngazi ya kupata mafanikio na vyeo na siyo kutumikia taifa...na endorsement yake yeyote (hivi karibuni Migiro) haitokubalika kwa sababu itakua ni miaka 10 mingine ya kupoteza
 
Ulimwengu ni majeruhi wa kisiasa sina hakika kama yote haya yanatoka moyoni kwa maslahi ya wote au ni mbinu ya tukose wote, nchi isitawalike.
 
Gazeti la Raia mwema la Generali Ulimwengu limeishambulia serikali ya Jk kwa muda mrefu lakini watu walio karibu na watu hao wanasema wana bifu kali kwa sababu Ulimwengu alikuwa anategemea fursa kadhaa kwa JK baada ya kutoshwa na mjamaa mwenzake Mkapa.
 
Inaweza kuwa kweli,lakini hali ya nchi si wote tunaiona?Kuna kitu cha kuitwa kuonewa hapa?
 
Ulimwengu ni mshiriki wa kambi ya wasanii, kama ni kweli anataka mageuzi arudishe kadi ya CCM.
 
Habari corporation ilikuwa ya Ulimwengu mfadhiri wake mkuu alikuwa Rostam Aziz yule mtuhumiwa mkuu wa ufisadi. Nilishangaa sana Ulimwengu kufadhiriwa na Mkuu wa ufisadi huku akipiga vita ufisadi. Baada ya kuelemewa na madeni RA akachukua kampuni ya Ulimwengu. Ulimwengu akaanzisha gazeti la Raia Mwema linalilojipambanua na kupiga vita ufisadi.
 
Huyu ****** nchi nchi imemshinda maana uwezo wa uongozi wake ni UDIWANI na sio Urais waTANZANIA wachache wasio na uelewa walifanya maamuzi yacyo sahihi kpnd cha uchaguz
note: elimu ya kujtambua inahitajka
 
huyu mswahili anataka kuonekana mzuri kwa kila m2 na kila upande hajui kwamba Urais ni kazi ya lawama haina kuoneana aibu wala ushikaji lazima upendwe na kuchukiwa ukiwa Rais...Fanya the right thing na utakua na nguvu ya wananchi ambayo ni nguvu kubwa kuliko hivyo vikundi anavyovikumbatia na kujaribu kuvifurahisha...hii inaonyesha huyu jamaa aliwekwa tu na watu kama ngazi ya kupata mafanikio na vyeo na siyo kutumikia taifa...na endorsement yake yeyote (hivi karibuni Migiro) haitokubalika kwa sababu itakua ni miaka 10 mingine ya kupoteza

hapo kwenye red hapo.. ina maana ameshamtosa membe mara hii na kuhamia kwa migiro..? duh kweli jamaa ni noumer...
 
Nimependa hii toka kwa jenerali

if the people of this country were to choose between giving more perks to their MPs and acceding to the doctors' demand, there would be no prizes for guessing which one they would choose.

Nimependa kiingereza chake hapa!!!!!!

Tiba
 
Habari corporation ilikuwa ya Ulimwengu mfadhiri wake mkuu alikuwa Rostam Aziz yule mtuhumiwa mkuu wa ufisadi. Nilishangaa sana Ulimwengu kufadhiriwa na Mkuu wa ufisadi huku akipiga vita ufisadi. Baada ya kuelemewa na madeni RA akachukua kampuni ya Ulimwengu. Ulimwengu akaanzisha gazeti la Raia Mwema linalilojipambanua na kupiga vita ufisadi.

So what?

Tiba
 
Ulimwengu ni mshiriki wa kambi ya wasanii, kama ni kweli anataka mageuzi arudishe kadi ya CCM.

Well said, kwa nini usiende kuichukua hiyo kadi kama unaona hastahili kuwa nayo!!!! Ina maana ukiwa CCM unapashwa uwe kondoo na kukubali kila uchafu unaopita mbele yako? Sijui kama kweli Jenerali ni CCM, lakini kama kweli ni CCM basi huyu ni mwana CCM pekee anayeweza kukemea viongozi wa chama chake hadharani. anastahili pongezi!!!!

Tiba
 
Mleta mada unatafsiri sivyo, hivi nakuuliza ukiwa team moja na Messi, kweli utaacha kumpasia mpira afanye vitu vyake?

Buck Passer sio maana yake kupasia mpira, buck passer ni kumrushia mtu mwingine lawama, nauliza hivi, kwako na kwa Ulimwengu, tena huyu Ulimwengu naona uzee unamjia vibaya na ule mshiko kutoka kwa Rostam unampelekesha, kama Rais na katiba inakulinda na lawama zote, kwanini usiwe na wabeba lawama? Ikiwa una wabeba risasi (body guards) ambao wako tayari kupokea risasi kwa ajili yako, itakuwa wapokea lawama?

Halafu lawama ipi ambayo Rais kaibebesha kwa mwingine? ule U Rais wenyewe pekee ni lawama tupu. Nioneshe Rais mmoja duniani asiyekuwa na lawama.

ni pumba tu.
Ni Dhahiri umejipambanua Kama mtetezi Wa Jakaya Raisi wetu. Tafadhali tumia akili unapofanya hivyo kuepusha kujiabisha wewe mwenyewe nayeye unayemtetea. Anachoongea Ulimwengu na kutafsiriwa na mleta mada ndicho tulichokipata kutoka kwenye vyombo vya habari. Pasi na danadana kwenye suala hili kazipiga nyingi tu. Sasa Mama Mheshimiwa sana FF unatetea nini?
 
Mleta mada unatafsiri sivyo, hivi nakuuliza ukiwa team moja na Messi, kweli utaacha kumpasia mpira afanye vitu vyake?

Buck Passer sio maana yake kupasia mpira, buck passer ni kumrushia mtu mwingine lawama, nauliza hivi, kwako na kwa Ulimwengu, tena huyu Ulimwengu naona uzee unamjia vibaya na ule mshiko kutoka kwa Rostam unampelekesha, kama Rais na katiba inakulinda na lawama zote, kwanini usiwe na wabeba lawama? Ikiwa una wabeba risasi (body guards) ambao wako tayari kupokea risasi kwa ajili yako, itakuwa wapokea lawama?

Halafu lawama ipi ambayo Rais kaibebesha kwa mwingine? ule U Rais wenyewe pekee ni lawama tupu. Nioneshe Rais mmoja duniani asiyekuwa na lawama.

Mengine ni pumba tu.

FF hembu funguka hizo pesa za Rostam kwa Ulimwengu tafadhari....
 
Back
Top Bottom