Jee ni nani alompa lences to kill kamishna wa jeshi la polisi zanzibar mussa ali mussa?.

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
408660_424051297660338_1971202464_n.jpg

Kamishna wa Zanzibar Mussa Ali Mussa

Hili nisuala lazimawananchi wa zanzibar tumkamate rohoni huyu mussa na gange lake linalofanyaoperation ya kuwa na kuwatesa wananchi wa zanzibar bila ya kuwapeleka kwanzakatika vyombo vya sheria. Hivi sasa zanzibarinatisha na wananchi wa zanzibar wametiwa hofu kubwa na doria hii ya jeshi lapolisi kugeuka mafya wa ukatili na uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu bila nahuku serekali ya mapinduzi ya zanzibar ikiangalia tu zidi ya wananchi wazanzibar wanavyo zalilika.

Hiyi hali ni agendakabambe na yakipindi kirefu iliopangwa kutekelezwa, lakini ilitafutwakisingizio gani ili tuetekeleze agenda hii.
Na ukitaka kujuwa kuwani agenda hii ni ya siri iliotakiwa kutekelezwa bila kujali sheria au vyombovya sheria na ndani yake kuna uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu utaona. Kwanza kabla yaoperetion hii vyombo vyote vya habari vya zanzibar na nje ya zanzibar vilipigwamatrufuku kutowa habari ya aina yoyote.

Jengine nikuwa na tahazarinalo ni huyu kamishna wa polisi mussa kauli zake za ubabaishaji na kusema bilakuongalia ukweli wenyewe na ushahidi ulivyo. Hivi sasa zaidi ya watu20 wameshapoteza maisha yao chini ya mikono ya jeshi la polisi na wenginekujeruhiwa vibaya vibaya bila kufikisha katika vyombo halali vya sheria. Ushahidi wakuliwa watuhawa upo na viashirio vilivyowauwa vipo na majeruhi wako hai hospitalini nawanawajuwa nani waliowajeruhi.

Jeshi la polisi chini yakamishna wake mussa ali mussa linakataa kuwa na kujeruhi lakini uchahidi wa kuauko wazi na kujeruhi bila watu hao kuwakabizi vyombo husika vya sheria , nasheria kuchukuwa mkondo wake. Vipi leo umchukuwe mtukwake au nyumbani kwao halafu mtu huyo ukamchukuwe hospitali tayari maiti? Halafu jeshi la polisiliseme kuwa eti wao hawakuhusika na jambo hilo haliyakuwa mtu huyo walikuwa naemikononi mwao?.

Hii nihatari ndugu zangu, na kama itashiwa hivi hivi bila kushukuliwa hatuwa zinazofaa na kukomeshwavitendo hivi basi serekali itakuwa inahusika %100 kufuga wahalifu. Jeshi la polisi baada yakuwa na ushirikiano na raia hivi sasa hapa kwetu zanzibar wanaonekana nimaduwiwakubwa na wauwaji no 1.

Hii yote inaonekana inabaraka zote za serekali chini ya rais wa tanzania mh jakaya mrisho kikwete namsaidizi wake rais wa zanzibar dr ali mohammed shein. Kama sio hivyo basipolisi wasingali chukuwa sheria mikononi mwao, hivi leo zanzibar wananchi wamegengwa
hofu kubwa na kufika hadi baadhi yao kuzikimbia nyumba zao na kulala sehemuzisizojulikana ili tu kuhofia kuvamiwa usiku. Hii ni hali ya hatarikubwa katika nchi yetu ya tanzania nahatma ya hali hii sio kuwaunganicha wananchi nikuwajengea uhasama nakupandikiza misingi ya chuki na utengano ambayo matunda yake hayatowezekanakufaidisha watanzania .

Huwezi kutatua matatizoya watanzania kwakutumia style hii, baada ya kupunguza nikuzidisha ugaidinchini na matokeo ya hatari ktk hatma ya tanzania mzima. Kwaupande wa zanzibarmaonevu yamezidi na mpaka sasa hali sio mzuri na tamko la wazanzibar wote ulimwenguni kwakushirikiana kwa pamoja ktk community zao wametowa tamko lapamoja .

Kuwaomba mawakili wao wakujitegemea kumburuza huyu kamishna wa jeshi la polisi zanzibar mussa ali mussakatika mahakama za kimataifa icc ili kujibu hujuma za kuwa na kutiuka haki zabinadamu. Hii nikutokana na kuwazanzibar ni nchi yeye kuvumiliana lakini uvumilivu huwa na kikomo na ukiashiwaitakuwa tena sio uvumilivu ni weeaknes itakayo tumiliwa vibaya kama hii visasa.

Ikiwa nikujifunzakutokana na uvumilivu wetu wa kustahamiliana basi raba yake yakufuta yalopitabasi ni serekali tulionaya ya umoja wa kitaifa gnu. Lakini inaonekana nasifa zote zandani na nje kimataifa zinaanza kufifia na kurudi kule kule squareone, tena mara hii kwa kasi kubwa na ukadili mkubwa. Maafa ya yuma ya kilachaguzi na mauwaji yake tuliweza wazanzibar kuyasamehe lakini sio kuyasahau e.gmauwaji ya 2001 26/27 .

Lakini hii inaonekanakuwa wanzanzibar uvumilivu wetu ,wenzetu viongozi huchukuwa kuwa ni weaknes nani mwanywa wakuutumilia.
Kwa hio wazanzibarkukomesha hali hii isiendelee damu kumwagika kiuzembe na wenye kufanya hivyotunawajuwa na ushahidi tunao wakutosha. Nilazima mussa mawakili wetu wapeleke case yauvunjaji haki za binadamu ufanyikao hivi sasa zanzibar kwa watu wasio na hatiakuliwa na kujeruhiwa bila kufikishwa katika vyombo vya sheria.

BONYEZA MAHOJIANO KATI YA KAMISHNA WA JESHI LA POLISI NA MWANDISHI WA HABARI

AUDIO | DW.DE

AUDIO | DW.DE

AUDIO | DW.DE
 
Mkuu umeandika kwa kutumia nini? I mean, sim? I pad? au laptop? Huenda una ujumbe lakini kwa jinsi ulivyo andika ni ngumu kumesa!
 
Mimi nadhani alipata kibali kutoka kwa wale 'Uamsho' waliomchinja askari barabarani.
 
Na ni Nani aliyemkatakata POLICE wake kinyama kwa MAPANGA, VISU na MAJAMBIA akijaribu kuwapatia wananchi huru USALAMA wa MAISHA yao?
 
kama kuna wanafunzi 5000 walifaulu ilihali hawajui kusoma wala kuandika! basi sitashangaa ulichoandika hapo juu, side effects za JANJA JANJA Primary!
 
Huyu aliyeandika hii mada ni Mpemba kweli na sio Muarabu anayejifunza kiswahili? Mimi nahisi mamluki huyu. Halafu audio aliyoweka inamuumbua, amesema watu 20 wamekufa ilhali polisi wanasema ni m1.

Wakati mnaanzisha fujo hamkujua kuwa kuna serikali eeh? Tulieni sasa mkapewe wali wa bure kwenye chuo cha ufundi wa amali.
Hii yote inaonekana inabaraka zote za serekali chini ya rais wa tanzania mh jakaya mrisho kikwete namsaidizi wake rais wa zanzibar dr ali mohammed shein

Kweli kichapo habari ingine, hata Wapemba sasa mnatambua kuwa Kikwete ni Mheshimiwa eeh? Japo adabu ya uandishi haikuzingatiwa. Next time ukimzungumzia mtu awezaye kukutia kichapo andika kwa adabu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, sawa Ami?

By the way, poleni sana, mmerikoroga sasa mlinywe
 
Vifo vya hawa wapendwa wetu vitufundishe kwamba si vizuri kushabikia mambo ya kipuuzi,UAMSHO yanayo lenga kuvuruga Amani yetu.
 
Uamsho vipi, tunasubiri alhamisi na ijumaa kuona itakuwaje
 
Back
Top Bottom