Itscharlie
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,795
- 15,773
Mazingira yapi yaliwakutanisha wewe na huyo mke&mume,mpenzi,mchumba, wako au mlikutana nae vipi na kuanzisha mapenzi yenu??
Watu wengi tumekalili kuwa mke&mume bora hupatikana katika nyumba za ibada pekee na sehemu za kistaarabu bila kukumbuka kuwa mwenyezi mungu..
Anaweza kukuletea mwenza wako wa maisha yako popote pale iwe. bar,barabarani,club hata mitandaoni na kwingineko kama akiamua.Naamini kila mmoja wetu humu alie oa/kuolewa alie na mpenzi/mchumba Ana chakuelezea katika..
Ndoa/mahusiano yao jinsi walivyokutana.