Je Waziri Mkuu (Mizengo Pinda) hajaitisha kikao cha Wabunge wa CCM?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,458
3,209
Naomba kuuliza, je waziri mkuu hajaitisha kikao na wabunge wa CCM ili kuwashawishi wasipige kura ya kutokuwa na imani dhidi yake? Tumezoea kipindi cha bajeti huwa anawashawishi, hasa pale bajeti inapoelekea kukataliwa, waipitishe; hatimaye halmashauri zinzkosa fedha, deni linaongezeka n.k
 
Mimi natarajia Mkuu wa nchi akatishe ziara ughaibuni na kuhudhuria mazishi ya Bingu wa Muthaarika.
Serikali imetikiswa.
Tulionya kuhusu uswahiba na sasa wanaangusha tena serikali yako Kikwete.
Kagoda,Jairo, meremeta na mengine mmewadanganya wananchi,sasa kazi kwenu.
 
wakikosea tu hapa hawa wabunge wa ccm, wajue m4c itakuwa juu sana. Naomba wakosee tu
 
Sitamshangaa Pinda akisaini kumng'oa waziri mkuu ili kuonyesha unafiki wa wabungewa CCM.
 
Kila m2 anaitaj ulaj,ccm wamekuwa wajanja sana kwenye inshu yote ya bunge.kumbe wazir mkuu ameshajipanga.alipopata tarifa hyo toka kwa usalama wake,amejiandaa na kujipanga kupambana.
 
Back
Top Bottom