ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,747
- 51,596
Huyu bwana ni Moja ya Wakuu wa Mikoa makini sana niliwahi kuwaona Toka Akiwa DC ila bahati mbaya sana inaonekana Ukiwa huko Serikalini hutakiwi kufanya kazi Kwa umakini.
Wengine ambao wanaweza kutumbuliwa wakati wowote kisa kufanya kazi vizuri ni RC wa Dar,RC Mpya wa Iringa na RC wa Manyara.
Serikalini wanatakiwa watu wa maigizo na wachekeshaji kama RC wa Rukwa, Kilimanjaro au Mara.
Ukiwa makini na mfuatiliaji unawawekea kauzibd Wala Nchi,utapigwa fitina usepe unless una connection nzito.