Je, wasanii wa filamu bongo ni celebrities???

Oct 7, 2008
25
0
Napata taabu kupata tafsiri sahihi ya celebrity!!!

Hawa vijana wanalazimisha jamii iwape heshima kwa kuwa kumbe wao wanadhani ni celebrities! Wakiwa sehemu ambazo kuna watu wengi sana walio-fail masomo kama wao, wana-command respect hata kwa nguvu.

Mimi sijaona celebrity wa kweli kati yao ila kuna waganga njaa wengi mno. Ukifahamiana na mmoja wao, be ready to triple your budget maana wanataka kiwango fulani cha maisha wakati ujanja wa kupata fedha hawana! Watakuwa all the time wako kwako mara kuazima suit, mara nyumba wafanyie shooting, mara hiki na hata wengine watataka uwape fedha za kujikimu. Wengine watakuletea wasichana ili wawe maswahiba wao. Nahakikisha kwamba wasichana hawa huhitaji kuwatongoza, wakishapata uhakika unayo good time na fedha hata kama ni kwa ajili ya maendeleo yako, uwe jasiri kweli, vinginevyo epukana nao. Nani kakwambia kuna maisha bila fedha?

Washaurini kwamba watafuta courses za utaalamu wasome, vinginevyo three years down the road watakuwa vibaka mtaani na machangudoa!
 
Awa jamaa wakasome,vitu hivyo bila shule vitakua vyamuda sana.Alafu wanabom sana!
 
Thant is well said, hata mimi huwa sielewi kwa nini watu wakishakuwa wasanii wanasahau kusoma au hata kutafuta kazi au hata biashara, na wakati ni wazi sanaa ya bongo hii hailipi, misho was siku wanaishia kuwa misarable. wanadhani waishauza sura tu inatosha kuwapa good time na maisha mazuri lol
 
Umenena jambo mkuu. Sijawahi kuvutiwa na kazi zao. Hata hawajafikia robo ya kiwango cha sanaa za enzi za kina Charlie Chaplin. Shule ni suluhisho la mafanikio ya kila sekta.......
 
Back
Top Bottom