Je. Wasanii wa Bongofleva na Wacheza filamu walisusia msiba wa Mafisango?

Marumeso

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,410
1,313
Nilishangaa haya makundi mawili hayakuonekana pale TCC Chang'ombe. Wana matatizo gani au ni kwa sababu marehemu hakuwa msanii mwenzao?
 
Ulifanya rollcall vizuri?!, unawajua wote?!. Yawezekana walikuwepo.
 
Ulifanya rollcall vizuri?!, unawajua wote?!. Yawezekana walikuwepo.

Mkuu, huna haja ya roll call, mbona wanajulikana tu. Na wanavyopenda kuuza sura lazima ungewaona. Ni kwamba hawakuwepo!
 
Back
Top Bottom