Je Wajua?

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
kesho ni siku ya pekee kabisa ktk mwaka huu,kwani siku hiyo haitajirudia tena hadi baada ya miaka minne ipite

kesho ni 29/02/2012 hiyo tarehe 29 ndio tarehe ya mwisho wa mwezi pekee ktk mwezi wa pili ambayo haitojirudia tena hadi baada ya miaka minne
 
watakaozaliwa kesho hawana besidei hadi baada ya miaka mnne du raha sana
 
Back
Top Bottom