Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,224
- 5,387
Kwa mujibu wa mwongozo wa kiroho wa madhehebu ya kipagani daima huamini kuwa mfumo wa jua ni taswira ya mfano wa babu kizee mwenye ndevu nyeupe "The grand Man"
Na katika fikra zao walijiumbia analojia ya vitu vitatu vya maisha ya ndani ya mwili wa binadamu; Ubongo, Moyo na Mifumo ya Uzazi.
Kubadilika kwa sura ya yesu katika biblia uelezea dhana ya mahema au nguvu kuu tatu za kiimani (three tebernacles), kubwa zaidi ikiwa katikati yaani Moyo, na ndogo zaidi toka upande wowote yaani Ubongo au Mifumo ya Uzazi.
Inawezekana kuwa nadharia ya kifilosofia ya uwepo wa Majua Matatu inaegemea zaidi dhana ya asili ya kimazingira katika mtizamo huu ambao umekuwapo katika historia ya binadamu kwa maelfu ya miaka.
Katika kuliangalia hili ebu turejelee historia ya hivi karibuni katika nukuzi mbalimbali; katika mwaka 51 baada ya kristo Majua 3 yalionekana mara 1 katika anga na pia katika mwaka wa Sitini na sita (66) Katika mwaka Sitini na tisa (69) Majua 2 yalionekana pamoja, kulingana na andiko la William Lilly, kati ya mwaka 1156 na 1648 Matukio 20 kama haya yalirekodiwa.
Kulitambua jua kama mkuu wa fadhili ya dunia inayoonekana kwa macho ya kawaida, Hermetists waliamini kuwa kuna JUA LA KIROHO, ambalo ndilo kisababishi cha jotoridi ndani yetu, na kwa wote WALIOJAALIWA UWEZO WA KUONA, wataliona hilo jua; na WALE AMBAO NI VIPOFU na ambao hawawezi kuliona wanaweza tu kulihisi joto lake.
Kuna jua la umilele (eternal sun) ambalo ndilo hasa chanzo cha Hekima (Wisdom) na wale ambao katika maisha ya kiroho wamekwisha pevuka/kufunguliwa (their spiritual senses have awakened to life) wataliona hilo jua na kuwa na ufahamu juu ya uwepo wake lakini wale ambao hawajapata kufikia hatua hiyo ya ufahamu wa kiroho (spiritual consciousness) watahisi nguvu yake kupitia ufahamu fiche/wa ndani tunauita Uelewa/Uangavu/Maono (intuition)
Mwanazuoni mmoja wa mafunzo ya Rosicrucian aliwahi kukazia juu ya hili akielezea juu ya awamu 3 za jua;
1. Jua la Kiroho (the spiritual sun) inayofahamika kama Vulcan;
2. Nishati Jua (soular) na Jua la Akili (intellectual sun), Kristo na Lusifa katika mfuatano sambamba/mmoja.
3. Jua la Ulimwengu wa Kimwili (jua halisi), Miungu ya Wayahudi Jehovah (the Jewish Demiurgus Jehovah)
Lucifer hapa anawakilisha fikra ya akili (intellectual mind) pasipo na mwangaza (illumination) wa akili ya Kiroho (Kristo); hivyo basi Lusifa ni "mwangaza wa uongo" the false light.
Kwa hiyo Mwangaza huu wa uongo mwishowe Ushinda na Kukombolewa na Mwangaza wa Ukweli wa Nafsi (the true light of the soul) uitwao Second Lagos au Kristo.
Mifumo ya siri ambayo akili ya Lusifa (akili ya binadamu wa kawaida) inabadilishwa kuwa akili ya Kristo (akili ya kiroho) hujumuisha moja ya Siri kuu ya "Alchemy" ambayo uwakilishwa na mfumo wa kubadili chuma (base metals) kuwa gold (dhahabu)
Kila kiumbe hai ndani yake ujisheheneza/ujikamilisha kama kitovu cha uhai (contains itself a centre of life, which may grow to be a sun) ambayo baadaye ukuwa na kuwa jua, katika joto hili linalozalishwa (na jua la kiroho), nguvu za kimungu (the divine power) zikihamshwa na kuchochewa na mwanga wa "the Lagos" (Kristo) ukuwa na kubadilika kuwa Jua ambalo uangazia ufahamu/akili.
"Mwandishi huyu wa uzi anahitimisha andiko lake kwa kusema "Jua tulionalo kwa macho ya nyama" (the terrestrial sun) ni kama Picha/taswira (image) au akisi ya Jua la kimbingu (lisiloonekana) lisiloshindwa (the invincible celestial sun), Jua la Mwanzo (the former) lipo katika ulimwengu (realm) wa kiroho wakati lile la mwisho (the latter) lipo katika hali ya mada; lakini la mwisho linapokea nguvu kutoka katika mwanzo."
NB:
Alchemy- Ni sayansi ya zama za mwanzo kuhusisha uchunguzi wa kifilosofia ambao ulikusudia kubadilisha Chuma kuwa Dhahabu, ugunduzi wa tiba ya magonjwa kwa ulimwengu mzima, na ugunduzi wa namna ya kurefusha maisha. alchemist.
Lagos- hii ni sababu ya kimungu iliyokasimishwa ulimwenguni kote, isiyo ya kawaida katika asili, lakini ina nguvu kushinda ukinzani wa aina yeyote ile katika ulimwengu wa kibinadamu.
Hii ndiyo ile siri ya ukweli wa milele na usiobadilika uliopo tangu wakati huo wa uumbaji, inapatikana kwa kila mtu anayeitafuta.