Je, wajua binti wa miaka 25 leo anaweza kuwa ametembea na wanaume zaidi ya 20 kwenye mahusiano yake mpaka sasa?

Dollar hermees

JF-Expert Member
Sep 14, 2013
514
1,031
Huo ni mfano tu hai kuwa wanawake wanawahi kuingia kwenye mahusiano tofauti na sisi wanaume.

Kijana wa miaka 18 na msichana wa miaka 18 wana experience tofauti kwenye mahusiano. Kwa mwanamke tayari amefikia umri wa kuolewa na kuweza kubeba ujauzito na pia amesha tongozwa mara kibao. Wanawake mara nyingi anapo fikia hatua na kuvunja ungo tu basi. Kama asipo pata muongozo mzuri ana anza kuwa uroda mapemaa. Hadi kufikia miaka 18 na kuendelea suala la mahusiano kwake kesha pitia watu kadhaa. Kama vile chuo tu Professor anakwambia hawa mademu sio level yenu nyie subiri wa form 6 huko. Levels differ.

Kwa mwanaume stori ni tofauti kidogo. Yeye ndo kwanza ana anza kuwajua wanawake wakoje na anakuwa hana uzoefu kabisa na wanawake zaidi ya kuzoeana tu na vi binti wa rika lake au wadogo zake. Hata hivo akisema atongoze, anyandue ni changamoto ndio maana wanaume wengi kula zigo tuna jifunzia kwa dada wa kazi. Hii ni kwa sababu wengine wanatutaka sisi au tunawataka wao na pia hawana mambo mengi. Sijui kuhonga, mara kupelekana wapi inakuwa show inafanyika ndani kwa ndani. Kiuhalisia wewe unaenda kununua malaya yeye anatafutwa na mtu mwenye pesa zake na ana mgharamia na ana wapanga kama madumu ya maji.

Ndio maana watoto wa siku hizi wa miaka ya 2000 kumtongoza ni pesa yako tu. Hakuna asichokijua kwenye mahusiano ukija kurelate kijana wa kiume wa miaka 20 anaweza kuwa amedate na wasichana labda 4 ni lakini kwa mwanamke inaweza kuwa idadi ya waume alio tembea nao ni mara mbili ya mwanaume au zaidi. Na bado anaendelea

Hali hii inasikitisha pindi ambapo binti huyu atapo amua kutulia na kutaka kuolewa mumewe ata faidi nae vipi kama uzuri wote aliupoteza kwa wanaume wengine. Tukipata nafasi ya kuzungunza na wadogo zetu wa kike tusisite kuwa hasa madhara ya kuendeleza umalaya. Hata wadogo zetu wa kiume pia tuwaelimishe kuhusu hili ili wawe makini na wajichunge.
 
Nenda mtaani kalete facts zangu hizo hapo basi leta zako

Duh samahani sana lakini ulicholeta hapa sio facts bali rumour na assumption za mitaani. Ukitaka tukubali kuwa ulicholeta hapa kuwa ni facts basi itabidi uweke data zako hapo juu ya research/uchunguzi wako Kuanzia vijana wangapi walishiriki katika research yako, umri wao, jinsia zao, maeneo wanayoishi, idadi ya watu walio sex nao n.k. Halafu ututeremshie na statistics za majibu hayo na utuonyeshe ni vipi uliweza kufikia conclusion uliyoifikia. Vyenginevyo bila ya ushahidi wowote ule, ulichokisema ni assumption tu na sio facts.
 
Daah hiyo Ni idad ya kawaida kwa mabint wa Sasa ,.

Nikijichukulia mfano kwa upande wangu ,Nina miaka 31 nilianzamapenz rasmi 2004 nikiwa na miaka 15 tu lakin ndani ya hiyo miaka 16 kwa kumbu kumbu zangu zinaniambia nishawala madem si chini ya 150. Sasa bint wa miaka 25 kuliwa na wanaume 20 au 30 Ni swala la kawaida Sana Tena huyo Hana Mambo mengi.
 
Back
Top Bottom