Je, wafugaji wa kimasai na Kimang'ati wanasaidia nchi kwa lipi?

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Ukweli ni kwamba kila mahali ukienda kwenye mashamba karibu Tanzania nzima utakuta migogoro ya wafugaji na wakulima. Wafugaji wengi ni wamassai na wamang'ati na wamekuwa kero kila mahali. Leo hii kuna mmang'ati kapika kambi na ngombe kwenye shamba langu Kidomole, Pwani bila kuomba au kuwa na sehemu ya kwenda.

Sijawahi kuona kabila linadekezwa kama vile wenyewe ni watoto sheria haziwahusu na wanataka wawe wanaweza kwenda sehemu yeyote na kufanya lolote bila sheria

1. Wanavamia maeneo ya wakulima bila utaratibu na kuharibu mazingira.

2. Wameharibu makazi yao ya monduli na kumebaki kama jangwa.

3. Hawataki ushauri au sheria yeyote.

4. Hawalipi kodi wanapeleka ngombe minadani wengine mpaka kenya bila kulipa kodi.

5. Wanaharibu mbuga zetu.

6. Hawapeleki watoto shule wanabaki kufuga ngombe na hii inasababisha wasijue kusoma na kuandika.

7. Sheria za kuozwa utotoni kwao haziwahusu!

Sasa hii jamii inatuletea mchango gani kama taifa na kwa vizazi vijavyo?
 
Una heka ngapi mkuu mpk ulalamike?
Zaidi ya 10 we kaa kimya tu waache wamasai wakusaidie.
Mmana hizo ni tamaa km za kwao,mko njia moja usiwalaumu.
 
Una miaka mingapi haujui faida za hao ng'ombe,nyama ikipanda kwenye mabucha unakimbilia kuleta uzi apa.umeishia kutaja upande mmoja tu ,faida zake haujaeleza
 
Nina heka 21 pwani huki chalinze wakati nalipimisha sikuweza kujua kama wamasai walikuwa maeneo hayo. Hilo eneo halifai kwa kilimo kwa kwa wamasai wanapitisha mifugo na ingekuwa ugomvi mkubwa. Nakumbuka nilitumia million 1 na laki saba kipindi kile kuja kuchunguza mahakamani kesi ilikuwa ngumu mno; sababu wamasai pia walikuwa maeneo yale kishria. Kitu amabcho watu hawajui wamasai wananunua maeneo mengi ambayo wanauziwa na serikali ya kijiji. Ndio maana nilipoteza hela ambayo isingeweza kusaidia kesi kushinda labda kwa mabavu. .

Narudi kwenye uzi, ni hivi mzee kama kila siku unakula nyama na nyama haiawahi kukauka hata siku moja buchani. Fikiria kuna mabucha mangapi hapa Tanzania, au Dar tu. Kila mtaa lazima ukute bucha na nyama watu wanakula mpaka wanavimbiwa. Hata kama wamasai wana matatizo yao still ni wa muhimu sana kuliko unavyodhani. Leo hii wamasai wakiacha kufuga kutakuwa na uhaba mkubwa sana wa nyama. .

Kikubwa seriakli itafute mbadala wa kero za kimasai, ila umuhimu wanao kwa sababu hata wao ni watanzania kama wew na mimi. Kosa sio mmasai kutolipa kodi hata mie ningekuwa mfugaji ningekwepa kodi za kipuuzi ambazo ziko kumuumiza mfugaji. Nafuga kuku na siku za sikukuu zauza na kodi silipi, mda mwingine nakula kuku na kodi yenyewe. .
 
Ukweli ni kwamba kila mahali ukienda kwenye mashamba karibu Tanzania nzima utakuta migogoro ya wafugaji na wakulima. Wafugaji wengi ni wamassai na wamang'ati na wamekuwa kero kila mahali. Leo hii kuna mmang'ati kapika kambi na ngombe kwenye shamba langu Kidomole, Pwani bila kuomba au kuwa na sehemu ya kwenda.

Sijawahi kuona kabila linadekezwa kama vile wenyewe ni watoto sheria haziwahusu na wanataka wawe wanaweza kwenda sehemu yeyote na kufanya lolote bila sheria

1. Wanavamia maeneo ya wakulima bila utaratibu na kuharibu mazingira.

2. Wameharibu makazi yao ya monduli na kumebaki kama jangwa.

3. Hawataki ushauri au sheria yeyote.

4. Hawalipi kodi wanapeleka ngombe minadani wengine mpaka kenya bila kulipa kodi.

5. Wanaharibu mbuga zetu.

6. Hawapeleki watoto shule wanabaki kufuga ngombe na hii inasababisha wasijue kusoma na kuandika.

7. Sheria za kuozwa utotoni kwao haziwahusu!

Sasa hii jamii inatuletea mchango gani kama taifa na kwa vizazi vijavyo?

Unashauri kitu gani kifanyike? Tukoleze tu mchezo wa Hangaya ili risasi zisiishie kuwajeruhi tu?
 
Tukiachana na haya ya loliondo.

Hawa jamaa ni jeuri kiasili,kwanza huwezi juongea na masai vizuri akakuelewa, wamezoea mpera mpera.

Masai hajui kusema "naomba" yeye anajua ,"nipe". Basi..
 
Back
Top Bottom