Je, Viatu vya Shujaa Magufuli vitamtosha Komredi Makonda?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Nimeona Komredi Makonda akishangiliwa kila kona ya nchi na Watu wote bila kujali Itikadi zao za Kisiasa

Je, Viatu vya Shujaa Magufuli vitamtosha?

Nawatakia Sabato Njema 😀
 
Kijana anafanya siasa kama za magufuli, anatumia style ileile kuwavutia waya mawaziri na watendaji wengine wa serikali wajibu hoja moja kwa moja kwenye mikutano na wananchi. Ziara zake zitawafanya watendaji hao kuwa na majibu endapo wataulizwa na huyo katibu wa uenezi wa chama chao. Anafanya hivyo akiwa na cheo kidogo tu cha ukatibu wa chama idara ya uenezi, je akiwa rais si ndiyo atakuwa magufuli mwenyewe? Kijana inaelekea alizipenda siasa za magufuli ndio maana anaziendeleza kwa vitendo na maneo. Ccm wanayo magufuli mwingine, ni hazina yao wamtunze, ndiyo rais ajaye baada ya samia. Kijana ana exposure kubwa ya kuwa Rais wa Tanzania. Kina mwigulu na january naona wanacheza makidamakida tu wameshindwa kufanya siasa za kuvutia wapendwe
 
Hakika....kijana amejitahidi kujitanabaisha na kujipambanua vilivyo... hizi simu anazowapigia mawaziri akiwa kwenye mikutano limekuwa la kipekee... naona wananchi wamevutiwa na aina ya siasa aliyoanza nayo..
Wapinzani hawawezi kuwapigia mawaziri simu wakiwa kwenye mikutano.
 
Kijana anafanya siasa kama za magufuli, anatumia style ileile kuwavutia waya mawaziri na watendaji wengine wa serikali wajibu hoja moja kwa moja kwenye mikutano na wananchi. Ziara zake zitawafanya watendaji hao kuwa na majibu endapo wataulizwa na huyo katibu wa uenezi wa chama chao. Anafanya hivyo akiwa na cheo kidogo tu cha ukatibu wa chama idara ya uenezi, je akiwa rais si ndiyo atakuwa magufuli mwenyewe? Kijana inaelekea alizipenda siasa za magufuli ndio maana anaziendeleza kwa vitendo na maneo. Ccm wanayo magufuli mwingine, ni hazina yao wamtunze, ndiyo rais ajaye baada ya samia. Kijana ana exposure kubwa ya kuwa Rais wa Tanzania. Kina mwigulu na january naona wanacheza makidamakida tu wameshindwa kufanya siasa za kuvutia wapendwe
Kama tumefikia hapa basi acha nistaafu niende zangu Thailand nikale pession yangu mpaka nife.
 
Kijana atunzwe ndiyo aina ya rais anayetakiwa Tanzania. Ni mfuatiliaji wa shughuli za serikali si mzembe. Ona yuko chamani lakini ana deal parallel and perpendicular effectivelly kwa watendaji wa serikali. Mtindo huo wa magufuli ndio wananchi wanaupenda, wanaona watendaji serikalini wanawajibishwa
 
Na ataipa sana CCM kura 2024/2025
 
Huenda uchaguzi ukimalizika wata mtupa inje na hisi tu., Aje hapa maharagwe ya ukweni atutabilie kama kweri makonda ana weza kua rais baada ya.
 
Back
Top Bottom