Je utakubali kuwa na mimi siku tukikutana?

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,093
Je utakubali kuwa na mimi kama tukikutana?
Je umewahi kunifikiria au kufikiria siku tutakayokutana?
Najua umewahi umewahi kutengeneza picha namna ninavyofanana,
Lakini bado najiuliza kama kweli utakubali kuwa na mimi siku tukikutana

Mara nyingi nimekuwa natengeneza picha ya namna wewe ulivyo,
Binti mrembo na mwenye mvuto kama yule staa alivyo,
Lakini bado sijawa na uhakika kama kweli ndivyo wewe ulivyo,
Hata hivyo bado naamini mawazo yangu hatakuwa mbali sana na jinsi ulivyo

Unaposoma ujumbe huu jaribu kaomba uanze kufikiria kuhusu mimi,
Kwani japo hatujawahi kukutana, nimekuwa nahisi siku zote uko karibu na mimi,
Sina uhakika sana lakini naamini mwisho wa siku itakuwa wewe na mimi
kwenye ulimwengu wa wawili na kuuweka mbali umimi
 
M'Jr bado tu hakijaeleweka sasa inabidi nikupe mbinu za kivita kakangu,maana naona huyo mrembo atakudatisha mwaka huu!
 
Last edited by a moderator:
Je utakubali kuwa na mimi kama tukikutana?
Je umewahi kunifikiria au kufikiria siku tutakayokutana?
Najua umewahi umewahi kutengeneza picha namna ninavyofanana,
Lakini bado najiuliza kama kweli utakubali kuwa na mimi siku tukikutana

Mara nyingi nimekuwa natengeneza picha ya namna wewe ulivyo,
Binti mrembo na mwenye mvuto kama yule staa alivyo,
Lakini bado sijawa na uhakika kama kweli ndivyo wewe ulivyo,
Hata hivyo bado naamini mawazo yangu hatakuwa mbali sana na jinsi ulivyo

Unaposoma ujumbe huu jaribu kaomba uanze kufikiria kuhusu mimi,
Kwani japo hatujawahi kukutana, nimekuwa nahisi siku zote uko karibu na mimi,
Sina uhakika sana lakini naamini mwisho wa siku itakuwa wewe na mimi
kwenye ulimwengu wa wawili na kuuweka mbali umimi
pana chezeya mwanamume akiwa kilindini!
 
never never never on earth.......kama unataka mambo yaende vizuri kwenye distance relationship.....basi ondoa hayo maneno niliyobold......utakuja vunjika moyo sana mwisho wa siku.......
 
Dah si ndio maana nimekuuliza jamani ili when we meet nisije nikavunjika muoyo wangu Preta
 
Last edited by a moderator:
acha hzo mbinu za zamani njoo nikupe intercontinental balistic missile
Unajua mbinu za zamani zilikuwa more effective than hizi za sasa ambazo zinachukua waliomo na wasiomo? I just want the target to be caught not everything around the target
 
Dah si ndio maana nimekuuliza jamani ili when we meet nisije nikavunjika muoyo wangu Preta

we unavyotaka uhakika.....unajuaje kama siku tukionana wewe ndo hutanipenda.....?
 
Last edited by a moderator:
ooooooooooooooooooh ghosh!!!!!!!!!!! another blind date thing. anyway!!!! kila la kheri, mtoto akukubali, na anfalizo, usiwaze kama anafanana na mrembo flan kwani ukikuta tofauti mapenzi yatakata palepale, BLESSED IS WHO EXPECT NOTHING BECAUSE HE WILL BE DISAPPOINTED
 
we unavyotaka uhakika.....unajuaje kama siku tukionana wewe ndo hutanipenda.....?
Theoretically
Mapenzi hayatokani na uzuri wa umbo au sura, bali hisia zilizojengeka ndani ya mioyo yetu wawili. Pamoja na kwamba nimesema nimekuwa natengeneza picha yako akilini mwangu, picha hiyo imekuwa ni namna gani tutakavyokuwa pamoja na sio namna gani unafanana. So naamini kwa kipindi chote hiki naamini tumetengeneza a heart bond that can never be broken by umbo au sura.

Realistic
Dah kama ni urembo ndio unahisi utanifanya nisikupende si tutautengeneza tu jamani maana siku hizi upo hata madukani sio kama enzi zile za zaman. Ila kama na huo wa kununua utadunda basi itabidi niachie ngazi. Lol!
 
moyo u mpweke na kasia halipigiki lolest! kaza but mkuu, tupa mishale ya mbali ila inayo hit target.
 
Je utakubali kuwa na mimi kama tukikutana?
Je umewahi kunifikiria au kufikiria siku tutakayokutana?
Najua umewahi umewahi kutengeneza picha namna ninavyofanana,
Lakini bado najiuliza kama kweli utakubali kuwa na mimi siku tukikutana

Mara nyingi nimekuwa natengeneza picha ya namna wewe ulivyo,
Binti mrembo na mwenye mvuto kama yule staa alivyo,
Lakini bado sijawa na uhakika kama kweli ndivyo wewe ulivyo,
Hata hivyo bado naamini mawazo yangu hatakuwa mbali sana na jinsi ulivyo

Unaposoma ujumbe huu jaribu kaomba uanze kufikiria kuhusu mimi,
Kwani japo hatujawahi kukutana, nimekuwa nahisi siku zote uko karibu na mimi,
Sina uhakika sana lakini naamini mwisho wa siku itakuwa wewe na mimi
kwenye ulimwengu wa wawili na kuuweka mbali umimi
wangu wa moyoni, shaka ondoa juu yangu
hufu yako mwandani, yaumiza mtima wangu,
nakupenda mwandani, kijana wa rika langu
kaa chini utulie,mie ndo wako msiri.

snowhite na Kongosho, wote wanajua mpenzi,
hata boss na Asprin jinsi nilivyodata kwako,
muulize cacico, ninavyopagawa juu yako
kaa chini utulie, mie ndo wako msiri.

najua hakika moyo wangu u radhi
asilan sikuachi, hata wanisute kama Bishanga.
najua lara 1 anajipanga, tubanane hapo hapo
nami namuhakikishia, atachuma mabichi hili kavu hapati.

kijana mzuri uliyeumbika, ufaaye ka mambo yote,
ujuaye kupanda na hata kushuka pia,
kwako wewe msiri, usogawa hovyo mbegu zako,
mkulima hodari utunzaye jembe lako.
 
Last edited by a moderator:
usogawa hovyo mbegu zako,
mkulima hodari utunzaye jembe lako.[/QUOTE]

Hahahahaaaaaaa! Hapo tu ndo UMENIKOSHA!!!! LOL! Jembe shurti kutuzwa, sio KILA KICHAKA LINALIMA, VINGINE VITALIFANYA LIWE BUTU BURE!!!! LOL! CHEZEA MISITU YA UOTO WA ASILI WA CONGO EQUATORIAL REGION!!!!!! JEMBE LINAZAMA HADI MPINI NAO NDANI!!! LOLEST!
 
wangu wa moyoni, shaka ondoa juu yangu
hufu yako mwandani, yaumiza mtima wangu,
nakupenda mwandani, kijana wa rika langu
kaa chini utulie,mie ndo wako msiri.

snowhite na Kongosho, wote wanajua mpenzi,
hata boss na Asprin jinsi nilivyodata kwako,
muulize cacico, ninavyopagawa juu yako
kaa chini utulie, mie ndo wako msiri.

najua hakika moyo wangu u radhi
asilan sikuachi, hata wanisute kama Bishanga.
najua lara 1 anajipanga, tubanane hapo hapo
nami namuhakikishia, atachuma mabichi hili kavu hapati.

kijana mzuri uliyeumbika, ufaaye ka mambo yote,
ujuaye kupanda na hata kushuka pia,
kwako wewe msiri, usogawa hovyo mbegu zako,
mkulima hodari utunzaye jembe lako.

Can you say that again??
 
Ndo maana na mimi nimemuuliza arudie tena..
Manake kuna mijitu haihurumii hata mbegu zao..kila siku kutupa micondom tu!!

Hahahahaaaaaaa! Hapo tu ndo UMENIKOSHA!!!! LOL! Jembe shurti kutuzwa, sio KILA KICHAKA LINALIMA, VINGINE VITALIFANYA LIWE BUTU BURE!!!! LOL! CHEZEA MISITU YA UOTO WA ASILI WA CONGO EQUATORIAL REGION!!!!!! JEMBE LINAZAMA HADI MPINI NAO NDANI!!! LOLEST![/QUOTE]
 
Back
Top Bottom