Je unazifahamu nguo maalumu za makarani wa sensa?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,458
3,209
Nimesikia matangazo ya kuhasisha sensa katika vyombo vya habari yakisema, makarani wa sensa watakuwa wamevaa nguo maalumu wakati wa zoezi la sensa. Zimebaki takribani siku kumi kuelekea siku ya sensa, binafsi sijajua hizo nguo maalumu zina rangi na maandishi gani, kama unajua naomba utuambie ili kukamilisha elimu kwa umma.
 
Mimi zisifahamu. Halafu nahofia siku ya sensa nitakuwa safarini, so nimepiga marufuku kumfungulia mlango mtu yoyote kwa kina dada, wangeonyesha uniform zao zipoje ningemwambia dada awafungulie wao tu, lakini me nahisi na familia yangu hatutohesabiwa.

Ulinzi kwanza jamani, wengine watakuja wamejitengenezea mashati yameandikwa wakala wa sensa na ina log ya serikali kumbe wezi, and i love my thing so much to risk them like this.
 
mkuu unataka kuzicopy halafu ujidai ni mchukua takwimu nini?
Nahisi ka harufu cha utapeli hapa.
 
Se.jpg


Dk-Bilal.jpg


Picha+no+6+(1).jpg

UMEONA MKUU.. Na wanaojua pia umuhimu wa Sensa Walikuwepo

se2.JPG
 
Km vile vinguo vya watu wa parking jijini darisalama au wajenzi vile vizibao vinavyog'aa!
 
Wakuu msishangae jamaa wanatoka na rangi za kijani na njano kwani wasimamizi wakwanza ni wazee mabarozi wa ccm eti nyumba kumi.
Wakuu hamuoni ziara za rais, makamu, mawaziri na la kusikitisha hata ziara za walioba bado njano na kijani inatawala na hakuna hata kukemea. Nyie subiri kama hawavalishwi magamba suit.
 
Back
Top Bottom