Je unajua kuwa wanaume weupe ndio wanaongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti?

Jamani ngoja nifafanue kidogo unajua wanaume wengi weupe wa kibongo (sio wazungu)ni mahandsam so wadada weng wanawapapatikia sio nia yao kuumiza siwatetei ila wadada wanajigonga kwao kwa sana wala hawana kaz kubwa ya kutongoza. Wanajichagulia 2 leo awe na yupi kesho na yupi kwa kifupi wanaume hawa (wenye pesa hata awe na sura ka makalio ya sufuria inayopikiwa na kuni na mahandisam weupe kwa weusi hata awe hana kash wanaumiza mioyo ya kina dada kwani wadada wengi wanawakimbilia sana) kwa hiyo lazima wadada muumizwe we jichukulie mchoma mishkaki wako ila asiwe handisam awe mbaya ka kanyagio utaona kama utaumizwa utakua peke yako

Fair comment. FL ameumizwa na wanaume weupe akafikiri kuwa amefanya utafiti, kumbe ukweli ni kwamba ninyi wanawake wenyewe ndio huwa mnawaweka majaribuni wanaume ma-handsome. Ukweli ni kwamba hata wanawake warembo sana kuwaoa ni headache, mwanaume akitaka mke awe wake peke yake asichague mzuri sana maana atasaidiwa tuu. Kizuri kula na wenzio!! hahahahahaha!!!!
 
halafu hizi tafiti nyingine sasa.. kwanza hakuna mtu mweupe! huamini angalia chokaa ilivyo...hebu tujadili kwanin umeme umepanda bei
 
Ninakumbuka mwaka 1947 wakati CRDB tuiita Land Bank nilisoma hesabu za fx moja ya calculations ni: A beautefull woman is
1. + addition of problems
2. X multiplication of enemies
3. - sustraction of money and
4. / division of life
Tulikuwa tunaiita" the distributive property of multiplication in respect to addition "
ni muda mrefu sana kama nimesahau mnisamehe nimejitahidi kukumbuka so An absolutely beautefull woman Majanga
 
Mmmhh, mngetumia lugha ya "wanaume ma hb" badala ya weupe, maana ni kweli wengi wao ni weupe lkn sio wote wana tabia hzo. Ni sawa na majanga ya mwanamke mrembo
 
Wanaume weupe ndio wanaume wanaoongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti na wanawake.wamejaliwa mvuto lakini ni mabingwa kwa mapenzi ya tamthiliya.yaani wanavyojua kuhandle wakati wa mahusiano unaweza kujiona kama malkia.ni wepesi wa 'am sory darling','plz baby come back','love u more than n'thin in this world' nk,ila ndio wanaongoza kwa kucheat katika mahusiano maana ni mapretender wakubwa.
km unataka kuumizwa roho,kuwa na mwnaume mweupe!
mnaojua zaidi kuhusu haya nijuzenijamani.....!


mweee siwapendi/huwa hawanivutii so hata sijui ..
 
Back
Top Bottom