Je umeachwa? Usilie, Jipe moyo, Songa mbele

mbona wandugu mnaongelea kuachwa tuu..I haven't seen
m2 akusema juu ya kuachana au kuachanishwa ..
Hamdhani hizo circumstances huwa zipo....???
Nawasilisha....
 
watu wasioweza kukubaliana na matokeo ndio wanakuwa prey wa mapenzi nakuingia kichwa kichwa ,hainiingii akilini kulia for nothing nakunguta mavumbi nasonga mbele.
swali kwa
AshaDii
hivi unamchukuliaje mtu ambaye mlishindwana ideological difference yaani totaly ukaona hay nimateso na upendo ushachuja kabisa labda mmezaa watotoau mtoto wewe mwanamke ulipoona huu ni usumbufu kwangu na huyu mtu sijafunga nae ndo wala hajatoa posa kwetu,ngoja nijibebee wanangu nang,oka ukasrtuggle maidha yakanyooka wakati ule yule mwanaume anakucheka nakukuombea mabaya usifanikiwe .unakuja pata mwenzi anakuoa saaafi mnaishi ila yule jamaa wa kwnza haishiwa matusi na visa japo u a out of his or her life,yaani hii ndio anayoizungumzia
Nicas Mtei huyu mtu ni wivu au ni maumivu yakuachwa?

Kuna msemo unasema ‘There is a thin line between love and hate’; kuna mahala mtu anaweza dhani kuwa hapendi na anamchukia mtu bila yeye kujua kuwa in a way anampenda na anachochukia ni suala la kuwa huyo mtu hayupo na hawezi kuwa katika maisha yake.

Mwanaume wa hivo, ambaye hataki ku let go kuwa haupo katika maisha yake si mzuri sababu anaweza hata kukudhuru. Wewe miaka inapita, umeolewa na you have moved on bado aendelee kukufuatilia na kukusumbua? Kwa mtazamo wangu ni kuwa anakupenda to the extent anakuchukia mno ni kwa nini akupende.
 
Kuachwa kuachwaaa,
Kuachwa ni shughuli pevuu...
Mbaya zaidi kwa yule ulompenda....
Yeye ananenepa,wewe unakonda,
Kwa mawazooo, kwa mawazooo.
hatari sana.......... Ukiona dalili sepa kabla hayajakukuta!
 
Maumivu yake hayaelezeki ila time heals though yaeza kukuchukua mda kumsahau ila kuna wakati utafika na utamsahau tu.
 
Back
Top Bottom