JE ulishawahi kufumania mke, mume au mchepuko laivu bila chenga wakizagamuana na mtu mwingine?

franckkimm

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
440
852
Wakuu,

Kama topic inavyojieleza...binafsi Mimi ilishawahi nitokea nilikuwa na mahusiano na Manzi mmoja na tulipendana sanaa sikuwahi jua Kama naweza kumfumania coz kipindi icho nilikuwa bado mgeni mgeni kwenye inshu za Mapenzi.

Siku moja namuacha geto nikimuaga narudi mchana coz naenda kufanya paper enzi hizo chuoni.

Kufupisha story paper liliarishwa baada ya kuzungushana Kama 2hours ikabidi nirudi zangu TU magetoni kwa mpenzi wangu

Aisee kufika tu nakuta demu anapelekewa moto alafu Ni mshkaji tunasoma chuo kimoja....kiukweli niliumia coz sikutegemea Hilo tukio.Ukizingatia kipindi icho nilikuwa sielewi kumbe kuchapiana kwa Wana Ni kitu Cha kawaida.

Nilicho fanya Sasa!!!.....Niliamua kuondoka mazingira Yale Wala sikusema chochote.

nikaenda kwa mshikaji wangu nikatulia Kama siku mbili....yule demu alinitafuta Sanaa na meseji zisizo kauka .Nakumbuka TU nilicho muambia akimaliza mambo yake aache ufunguo sehemu.

Baada ya Kama week moja nilitafuta getto lingine nikahama pale na mahusiano na yule manzi yaliishia pale.
Kuanzia hapo na Mimi nikaachaga Mapenzi ya Romeo na Juliet Rasmi....kuanzia hapo mindset yangu ilikuwa kunyandua kwa sanaa

Alafu mpaka naandika hapa nimekuwa mraibu wa kula married women kwa sanaaa.....nitakula uko weeee ila kwa Hawa married aisee mzuka wangu unakuwa sio wa nchii hii

Mpaka nahisi hili tukio limeniathiri kisaikolojia au???? Ndio maana nipo hapa kupata experience labda nitajifunza kitu


VP ulishawahi kufumania??? na ulichukua hatua gani????

NAWASILISHA!!!!
 
Watu wengine experiences zenu Ni ngumu kumeza aisee

Mi hiyo scenario haijawahi kunitokea ila siku ikinitokea huyo mgoni wangu lazima tutabadilishana majengo ya serikali.
Unaenda jela mkuu kisa demu TU....binafsi kipindi Kile nahisi nilifanya maamuzi magumu lakini Ni sahii ingawa niliumia Sanaa Ni Jambo baya la ku experience
 
Watu wengine experiences zenu Ni ngumu kumeza aisee🤔

Mi hiyo scenario haijawahi kunitokea ila siku ikinitokea huyo mgoni wangu lazima tutabadilishana majengo ya serikali.
Upo nyuma ya nondo kwa kesi ya mauaji. Umemuua mgoni wako
Hapo mwanamke yupo uraiani anaendelea kugongwa cha ajabu hata kuja kukuona haji.
Unajiona mjanja?
Jiulize
1. Ushawahi kutongoza wanawake wangapi wakakukataa?
2. Hao wanawake waliokukataa uliwalazimisha ukaenda nao kufanya ngono kwa lazima?
Watu wazima, wamekutana sijui wapi, wanapigiana simu, wanaenda mahali, mwanamke anavua nguo zote na mwanaume hivyo hivyo kisha wanaanza kufanya ngono. Wewe unaenda kuwaua?
kwanini uende jela kwasababu ya malaya?
Mimi nikiwakuta, nakiri jamaa kanizidi, nitawaambia wavae nguo wasepe wote. Sitawapiga wala kuwafanyia jambo baya.
Km nitasikia wapo guest, siendi kufumania. Nitafuatilia meseji na calls kujua ili kupata ushahidi wa kumuacha mwanamke.
Siwezi kuharibu mambo yangu kwasababu ya mwanamke, nikupiga chini na kuendelea na maisha. Siwezi kuhangaika na malaya
 
Adhabu ya kutoa ikitokea hivyo kubwa kuliko zote ni kupotezea, kuachilia na kusamehe mazima
 
Back
Top Bottom