Je; Ulimwambiaje Au Alikwambiaje na Alitumia Njia Gani Kutaka Muoane/Mchumbiane?

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Sister wangu aliambia, BF wake alimwekea pete ndani ya glass iliyokuwa na Cocacola bila yeye kujua. Ilipokaribia kwisha, Shem alikwenda kwa Magoti huku akilalama "Will you Marry Me?"

Mimi, nilimfanyia Birthday Party GF wangu (Sasa hivi ny Mywife wangu) na pete ikiwa ndani ya keki katika kibox chake. Alipokata keki na kufikia kibox na kisha kukitoa, kidume nikamkomalia . . .
"Baby, Please Marry Me . . . ."

Je, wewe yako ilikuwa vipi au unapanga iwe vipi?

Share with us.
 
It was a happiest hectic event; I remember I bought it of a Jewelery store; and searched for her all the city stores and saloons; then lastly I found her busy showering while wet and not wild I gave her the ring and pleaded the same words will........me? But it was fun to get to do it and the expectation of life together as hus and wif... It is a pretty event and I pray it not to ever repeat again in my entire life.
 
...na sie tuliotafutiwa na wazazi, rukhsa kuchangia?
 
Hizi topic nyingine mbona zipo ki-western-western. Kwa mfano mi wifey alikuwa knocked up so ikabidi tu iwe ndo hivyo lakini msela I'm still ballin' around so hakukuwa na mbinu wala romance kivile ilikuwa make or break at the time. Godamn it, I miss ma freedom. Washkaji msioe ndoa ni full msala unless your woman is knocked up or something!! Teh teh
 
It was a happiest hectic event; I remember I bought it of a Jewelery store; and searched for her all the city stores and saloons; then lastly I found her busy showering while wet and not wild I gave her the ring and pleaded the same words will........me? But it was fun to get to do it and the expectation of life together as hus and wif... It is a pretty event and I pray it not to ever repeat again in my entire life.

That is very interesting Mkuu!
 
Hizi topic nyingine mbona zipo ki-western-western. Kwa mfano mi wifey alikuwa knocked up so ikabidi tu iwe ndo hivyo lakini msela I'm still ballin' around so hakukuwa na mbinu wala romance kivile ilikuwa make or break at the time. Godamn it, I miss ma freedom. Washkaji msioe ndoa ni full msala unless your woman is knocked up or something!! Teh teh

Kijana wangu, naona WEWE BADO UPO UPO TU . . .

Haaa haaa
 
nilishangaa sana kuanzia wiki inaanza ananiambia jpili lazima twende church wote,kila cku ananikumbushia jpili, jpili! jpili akanical asubuhi sana akiniomba nijiandae kwa church, alikuwa na marafiki zake, katikati ya misa kwa cc wakatoliki kuna kupeana amani ya bwana, hapo ndipo aliponivalisha pete! nilishindwa kuendelea na misa......
 
teh
icon10.gif
teh
icon10.gif
teh
icon10.gif
, duh you made my day!
yani hapo kwakweli ulikua huna ujanja ungekataa tuu, ujue UNGEPATA DHAMBI hapo hapo!, duuuh, hiyo trick ya huyo mshkaji nimeikubali.
 
kwanza i was shocked! mana kilikuwa ni kitendo cha dk tu, yaani niliwaza hilo wazo kalipata wapi nikakosa jibu!....cku nyingine mdogo wake na mr akamcal mr asubuhi sana kumwambia anaumwa(walikuwa wameshapanga) anahitaji mtu wa kumpeleka hosp, amefika kwa mdogo wake akanical ananiambia nimpitie galfrnd wa mdogo wake niende nae hapo home kwa mdogo wake ili wasaidiane kumpeleka hosp, nimefika nimekuta mrembo kashalia mpaka bac kuckia boy wake yupo hoi, tunafika gal anamuuliza mr mpenzi wangu yuko wapi jamani japo nimuone, mpenzi katoka ndani akijifanya anaumwa, mdada kwenda kum hug na hapo hapo kavalishwa engagement, mdada alilia, mana katoka kitandani na nite dres nywele kitimu timu anamuwahi boy ampeleke hosp kumbe ndio engagement yake hivyo......nilibali nimeduwaaa.
 
...gal anamuuliza mr mpenzi wangu yuko wapi jamani japo nimuone, mpenzi katoka ndani akijifanya anaumwa, mdada kwenda kum hug na hapo hapo kavalishwa engagement, mdada alilia, mana katoka kitandani na nite dres nywele kitimu timu anamuwahi boy ampeleke hosp kumbe ndio engagement yake hivyo......nilibali nimeduwaaa.

damn :D 'surprises' zinazidi kuwa x-treme! ...itafikia siku mtu yupo ndani ya casket wakati wa last respect ananyanyuka, "will you marry me?"
 
kwanza i was shocked! mana kilikuwa ni kitendo cha dk tu, yaani niliwaza hilo wazo kalipata wapi nikakosa jibu!....cku nyingine mdogo wake na mr akamcal mr asubuhi sana kumwambia anaumwa(walikuwa wameshapanga) anahitaji mtu wa kumpeleka hosp, amefika kwa mdogo wake akanical ananiambia nimpitie galfrnd wa mdogo wake niende nae hapo home kwa mdogo wake ili wasaidiane kumpeleka hosp, nimefika nimekuta mrembo kashalia mpaka bac kuckia boy wake yupo hoi, tunafika gal anamuuliza mr mpenzi wangu yuko wapi jamani japo nimuone, mpenzi katoka ndani akijifanya anaumwa, mdada kwenda kum hug na hapo hapo kavalishwa engagement, mdada alilia, mana katoka kitandani na nite dres nywele kitimu timu anamuwahi boy ampeleke hosp kumbe ndio engagement yake hivyo......nilibali nimeduwaaa.

all in all hii ya kwako mie nimeikubali kwa 100% bila ubishi, kwani ni kitu ambacho huwezi kukitegemea, ukiangalia kwa makini utahisi kuna baraka fulani from the mass, jamaa kweli bonge la creative.
i got something here, i'l practise this
thank you very much, duuuh
 
damn :D 'surprises' zinazidi kuwa x-treme! ...itafikia siku mtu yupo ndani ya casket wakati wa last respect ananyanyuka, "will you marry me?"

weeeeee:D,
mkuu hapo lazima utoke nduki nene sana!
 
Angekuwa mtu mwingine tungemruhusu lakini sio wewe,maana haukawii kuaribu.We ukitaka we jiruhusu mwenyewe au vipi

hehehe sitachafua jamani labda akija Komredi Nyani Ngabu au Masanilo au Msanii na Yo Yo kama mnavyo jua yupo lock up anajiexpress taratiiibu.
 
nilishangaa sana kuanzia wiki inaanza ananiambia jpili lazima twende church wote,kila cku ananikumbushia jpili, jpili! jpili akanical asubuhi sana akiniomba nijiandae kwa church, alikuwa na marafiki zake, katikati ya misa kwa cc wakatoliki kuna kupeana amani ya bwana, hapo ndipo aliponivalisha pete! nilishindwa kuendelea na misa......

Haaaaaaaa! kumbe iwa mnalazimishwa kuolewa! mi nilijua makubaliano tu kama unakubali tuwe tunajixpress wote basi tunafunga ndoa haya bana unavishwa kichwa kichwa utakiona cha moto mbele ya safari.
 
Kama kawaida yako mpwa kama treni vile taratibu unashika kasi,sijasikia kwa akina sie waislam,maana najua sie hatuna hizo za kiwest au na nyie mmeshaiga.Fidel nimegundua wewe ni ustadh kwani akina ustadh ndo uwa tuajiexpress tu au vipi mkuu.Lakini Fidel hata huko kujiexpress ulijiexpress vipi?
 
Haaaaaaaa! kumbe iwa mnalazimishwa kuolewa! mi nilijua makubaliano tu kama unakubali tuwe tunajixpress wote basi tunafunga ndoa haya bana unavishwa kichwa kichwa utakiona cha moto mbele ya safari.

hakunilazimisha kabisa, kama alikuwa boyfrnd wangu kwa 2yrs basi nilikuwa nampenda nae ananipenda na nilikuwa tayari kwa lolote kutoka kwake ndio mana na yeye alijua nipo tayari kwa hilo! hujambo Fidel?
 
Back
Top Bottom