Je, ukipewa shilingi milioni 1, itakutosha katika biashara yako?

Nashukuru sanaa sanaaa kifupi mm ni mpambanaji na sijisifii hilo ndugu yangu pia sipend kua tegemez ni kwel kabisa sio rahs kwa wadada kujisomesha toka o level mm nimejisomesha kwa biashara ndogondogo jmn haikua rahisi ila tambua inawezekana na naumia sana kuona mdada anadanga kisa pesa au anaacha shule kisa hana wa kumlipia ada
Hongera dada heri wanawake zetu wangekuwa kama wewe tungepumua
 
Mm ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa tatu
Kabla ya biashara ya sasa nimewah fanya biashara kadhaa huku nasoma toka o level kifupi nimejisomesha mimi mwwnyewe kwani sina wazazi mpka sasa nakaribia kumaliza chuo

Kufupisha story biashara ya nyuma kabla ya hii ni kuwa nilikua nauza makande yes makande haya haya ya mahindi na maharage

Kifupi najua sana kuyapika yan sana na nikipika nilikua nasifiwa sanaa so nikaona ni fursa kwani watu weng hasa dar wamezoea kula ugali au wali tu kwa mama lishe


Nikiwa mwaka wa pili chuo nilianza na mtaji wa elfu tano tu yan nilinunua mahindi nusu na robo maharage nusu sukar robo nazi moja karoti na hoho na mkaa wa buku

Nikawa naroweka mahindi na maharage usiku mzima ili yawah kuiva halafu nayaunga vizur sana kisha nilikua na makontena yan yale mabakuli ya mfuniko matatu nikaazima mengine matano nikawa napaki mule halafu sa sita mchana naenda kuuza kwenye vujiwe vya bodaboda kwa bei ya 1500 faida unapata 7000 baada ya kutoa mtaji wako na nikaendelea kukuza mpaka kuuza kontena 30 kwa siku na faida unapata 30 hiyohiyo baada ya kutoa mtaji


Kuhusu namna nilivokua nagawa muda wa masomo na biashara ni jambo lingine ambalo nitaeleza wakat mwingine ila haikua rahisi



Kwa sasa nimefungua kampuni nasambaza house maids yan house girls
Mkoa gani upo boss
 
Ninsuhakika nipo kwenye magrouo yakuuza na kununua afu kunamitaa huwanatembelea wamama wanamajesho anaweza Hadi huruma
Mkuu naomba connection ya kujiunga kwenye hayo magroup nipo iringa.....and pia wanachuo huuza kwa bei hiyo mara nyingi wale wanaomaliza huwa wanauza vitu bei rahisi sana sio vitanda tu hadi zile kabati kali za laki 320 huwa wanauza laki 180......
 
Pia waliopo arusha kulingana na baridi zile koti za korea zinauzika sana kuna rafiki angu anauza hizi japo ni kama machinga anauza kilasiku si chini ya 10.....bei zake ni elfu 5 kwa elfu 8.....haka kabiashara kazuri sana pia ila tu uweze kuzinadi vizuri kuweka sagula ndio nzuri zaidi au mnadani..... hapo kwa elfu 5 ukiuza 10 unakuwa na elfu 50 kwa siku 1 au ukiuza ya elfu 8 kama 7 unakuwa na 56 kwa siku.....
82c76e2080b220a63ae151aa6793c811_350x350.jpeg
images-7.jpeg
 
Mkuu naomba connection ya kujiunga kwenye hayo magroup nipo iringa.....and pia wanachuo huuza kwa bei hiyo mara nyingi wale wanaomaliza huwa wanauza vitu bei rahisi sana sio vitanda tu hadi zile kabati kali za laki 320 huwa wanauza laki 180......
Mwaka Jana nilichukua kitanda, TV, mtungi mdogo wa gasi, godoro na vyomba vyakupikia kwa jamaa kamaliza chuo anasepa zake kwa laki moja na nusu nitumie namba yako pm nikuunge chap
 
Pia waliopo arusha kulingana na baridi zile koti za korea zinauzika sana kuna rafiki angu anauza hizi japo ni kama machinga anauza kilasiku si chini ya 10.....bei zake ni elfu 5 kwa elfu 8.....haka kabiashara kazuri sana pia ila tu uweze kuzinadi vizuri kuweka sagula ndio nzuri zaidi au mnadani..... hapo kwa elfu 5 ukiuza 10 unakuwa na elfu 50 kwa siku 1 au ukiuza ya elfu 8 kama 7 unakuwa na 56 kwa siku.....View attachment 1488585View attachment 1488586
Iringa makoti au masweta ni muda wote nako yanauzika Sana tu
 
Mwaka Jana nilichukua kitanda, TV, mtungi mdogo wa gasi, godoro na vyomba vyakupikia kwa jamaa kamaliza chuo anasepa zake kwa laki moja na nusu nitumie namba yako pm nikuunge chap
Wanakuwaga na hali ngumu hahahaha....
 
Back
Top Bottom