GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,100
Wanabodi,
Unawezaje kuamini Maneno ya Issa Shivji,Maneno ya TLS chama cha wanasheria hiki,Maneno ya Mbowe au Dkt slaa?
Hao wote ni vigeugeu,Hukumbuki Issa shvji na midahalo ya katiba na serikali tatu baadae akasema katiba haina maana,Ni Njaa njaa hutweza utu
Hukumbuki Issa shivji na kelele za kutaka NBC iendelee kumilikiwa na serikali huku akipinga uanzishwaji wa NMB?
.
Hukumbuki Freeman Mbowe na lowasa fisadi halafu akaja na story zake za gia angani kuwa lowasa ni asset yaani mali?Ni maslahi maslahi binafsi
Hukumbuki chaguzi za TLS na siasa zake, sakata la Fatuma karume kutimuliwa uwakili huku chama TLS kikiufyata na kumuacha fatuma karume peke yake,Wanasoma upepo wa maslahi na ni waoga
Hukumbuki story za TLS chama cha mawakili na mambo ya bwawa la Nyerere lisijengwe litaharibu mazingira na report zao ,Leo wanafunga safari TLS na wanahabari kuangalia bwawa la Nyerere la kufua umeme
Je?Kuna tofauti gani ya kibwetere,Mencknzie na hawa wapinga uwekezaji?
Dunia ya leo bado watu wanaamini simulizi za wengine bila wao wenyewe kujiridhisha na ukweli,
Kibwetere na Mecknzie hawa ni watu walioaminisha uma na uma ukawaamini ,Makosa ya wafuasi wa Mecknzie na kibwetere ni kusikiliza na kuamini bila kufanya utafiti na kujiridhisha ,Je kinachohubiriwa ni sahihi?Mwisho wa wafuasi hawa wa Mecknzie na kibwetere ilikuwa ni kifo
Watanzania hatujasoma makubaliano ya IGA kati ya serikali na Arab Emirates of Dubai bali tunawasikiliza akina kibwetete na Mecknzie watusimulie na kutufafanulia , wanatuambia tufunge hadi kufa wakati wao wenyewe wanaendelea kulamba asali
Unawezaje kuwaamini watu vigeugeu ,Vigeugeu wamegeuka madalali wa kutusimulia vipengele vya makubaliano wakati sisi wenyewe wananchi hatujavisoma
Tuwakatae vibwetete na Vimakenzie kwenye Taifa letu,Kama kweli wana uchungu na wao sio vigeugeu watuombe msamaha kwa kutuambia lowasa fisadi,Bwawa la Mwalimu Nyerere ni mradi safi,ubinafsishaji wa sekta ya Bank umekuza uchumi
Tunahitaji mabadiliko bandarini lakini akina kibwetere na Mecknzie waanze wao kufunga hadi kufa halafu sisi wananchi tutakuwa wa mwisho kufunga