Je, tupo tayari kwa kiasi gani ?

nkyandwale

Member
Feb 8, 2011
64
14
Kwa mujibu wa kipima joto cha ITV. Je, Watanzania tumejiandaa kwa kiasi gani ili kukabiliana, na matukio ya mtambuka kama vile milipuko ya mabomu, mafuriko, kimbunga, ukame, moto...... na magonjwa kama.......na kipundupindu vinapotokea?
Kwa mfano. Huwa inatokea kwa baadhi ya Watanzania tunaposikia mshindo mkuu au mlipuko, badala ya kuchukua hatua ya kwenda mbali, bali tunasogea kwenye tukio ili kushuhudia ! Si hivyo tu, Taasisi husika zinawajibika ipasavyo? Wana-JF tufumbuane! :rain:
 
Back
Top Bottom