Je tuna wacheza mpira kama hawa?

MmasaiHalisi

Senior Member
Jan 15, 2009
192
23
Naombeni mnitajie japo mchezaji mpira leo hii ana kiwango cha wachezaji hawa

YANGA AFRICAN
(1)HAMISI KINYE/JOSEPH FUNGO
(2)AHMED AMASHA
(3)ATHUMAN JUMA(CHAMA)
(4)ALLAN SHOMARI
(5)CHARLES BONIFACE(MKWASA)
(6)HUSSEIN IDDI
(7)ABEID MZIBA
(8)MAKUMBI JUMA
(9)OMARI HUSSEIN
(10)FRED FELIX MINZIRO
(11)JUMA KAMPALA
KAINGILILA MAUFI, MOHAMEDI KIZERUZE NA ABDALLA KABURU
PAMBA FC
(1)PAUL RWECHUNGURA
(2)GEORGE MASATU
(3)MADATA LUBIGISA
(4)HUSSEIN MASHA
(5)MAO MKAMI
(6)DAVID MWAKALEBELE
(7)ABDALLA BORI
(8)HAMZA MPONDA
(9)KITWANA SULEIMAN
(10)FUMO FELICIAN
(11)DEO MKUKI
(12)RASHIDI MSONGA
(13)JUMA AMIRI

MBONA TUMEPOTEZA DIRI KATIKA MICHEZO TATIZO NINI?
 
...Unaikumbuka Simba hii??

1. Iddi Pazzi (Father)
2. Mussa Kiwelo
3 Daudi Salum (bruce Lee)
4. Lilla Shomari
5. Athuman Maulid (Big Man)
6. Ramadhani Maufi (Lenny)
7. Sunday Juma
8. Willy Kiango
9. Abdallah Salum Mwinyimkuu
10. Amri Ibrahim
11. Edward Chumila
12. Mtemi Ramadhani
12. Moses Mkandawile
13. John Makelele (zigzag)
14. Mohamed Chopa (Bob)
15. Bakari Idd
16. Idd Selemani
17. Madaraka Selemeni(Mzee wa Kiminyio)
18. Zuberi Magoha
19. Thuweni Ally
20. Athumani Mambosasa
21. Omari Mahadh bin Jabir
22. Mohamed Bakar (Tall)
23. Jumanne Hassan Masment
24. George Kulagwa
25. Martin Kulagwa
26. Nico Njohole
27. Deo Njohole
28. Michael Paul (Nilony)
29. Itutu Kigi
30. Mbuyi Yondani
31. Mike Sirengo
32. Mohamed Mwameja

Then Kulikuwa na Coastal Union hii ni noma ingawa siwakumbuki wote!!

1.Mohamed Mwameja
2. Said Korongo
3. Douglas Muhani
4. Said george
5. Raza Yusupu (Careca)
6. Ally Maumba
7. Hussein Mwakuluzo
8. Juma Mgunda
9. Juma Burhani
10.
 
Wakuu, mbona mnataka kuliza watu!!! Anayekumbuka atuwekee Pan Africa na Majimaji ya Songea. Kwa kuanzia,
1.Ali Katolila
2.Godian Mapango
3.Leordgar Tenga
4.Samli Ayoub( beki mstaarabu)
5.Celestine Sikinde Mbunga
6.Octavian Mrope
7.
 
PAN AFRICA FC
1.Juma Pondamali
2.Mohamed Mkweche
3.John Faya
4.Loeordigar Tenga
5.Jellah Mtagwa
6.Mohamed Rishad adolf
7.Godian Mapango
8.Hussein Ngulungu
9.Peter Tino
10.Ally Katolila
11.Kasim Manara

bench
1.Muhaji Mukki
2.Saad Mateo
3.Rashid idd Chama
4.Kitwana Manara
Duh list ni ndefu kweli.
 
Naombeni mnitajie japo mchezaji mpira leo hii ana kiwango cha wachezaji hawa

YANGA AFRICAN
(1)HAMISI KINYE/JOSEPH FUNGO
(2)AHMED AMASHA
(3)ATHUMAN JUMA(CHAMA)...

PAMBA FC
(1)PAUL RWECHUNGURA
(2)GEORGE MASATU
(3)MADATA LUBIGISA...

...mbona hujawataja wakali wa Msimbazi? washabiki wa Yanga bana, utawajua tu!

...MBONA TUMEPOTEZA DIRI KATIKA MICHEZO TATIZO NINI?

Tatizo ni kuwa na viongozi wa juu washabiki wa Yanga, huoni hata migogoro yenu haiishi/haitatuliki?! :)
 
Naombeni mnitajie japo mchezaji mpira leo hii ana kiwango cha wachezaji hawa

YANGA AFRICAN
(1)HAMISI KINYE/JOSEPH FUNGO
(2)AHMED AMASHA
(3)ATHUMAN JUMA(CHAMA)
(4)ALLAN SHOMARI
(5)CHARLES BONIFACE(MKWASA)
(6)HUSSEIN IDDI
(7)ABEID MZIBA
(8)MAKUMBI JUMA
(9)OMARI HUSSEIN
(10)FRED FELIX MINZIRO
(11)JUMA KAMPALA
KAINGILILA MAUFI, MOHAMEDI KIZERUZE NA ABDALLA KABURU
PAMBA FC
(1)PAUL RWECHUNGURA
(2)GEORGE MASATU
(3)MADATA LUBIGISA
(4)HUSSEIN MASHA
(5)MAO MKAMI
(6)DAVID MWAKALEBELE
(7)ABDALLA BORI
(8)HAMZA MPONDA
(9)KITWANA SULEIMAN
(10)FUMO FELICIAN
(11)DEO MKUKI
(12)RASHIDI MSONGA
(13)JUMA AMIRI

MBONA TUMEPOTEZA DIRI KATIKA MICHEZO TATIZO NINI?

Mkuu kuna namba 9 ya kuaminika ilikuwa ya taifa haujaiweka hapo maana bila hiyo timu ya taifa au yanga zilikuwa hazichezi mpira huyo anaitwa MWINDA RAMADHANI unamkumbuka huyo??
 
Kwa Simba,

Mbona umeacha College mate wangu wa Tech. College Arusha yaani marehemu Method Mogela? Pia mate mwingine na yeye Ex-Simba kwa muda mfupi na sasa pia ni marehemu yaani kijana wa target Salleh Sonda.....

Minziro alikuwa shemeji wa wengi te teeee.
Ila alikuwa ni Mchezaji fantastic bwana, akutula two pisition at a time.
 
Mbona simuoni Gibson Sembuli ambaye hata Mbarack Mwinyishehe alimuimba baada ya kifo chake
 
Wakuu mnawakumbuka
1 Sunday Manara (Comouter)
2 Willy Mwaijibe (RIP)
3 Yanga Omari Bwanga
5 Gilbert mahinya (Machine)
6 Leornard Chitete (RIP)
 
Ngongo umenikumbusha mbali sana sasa nauliza je kwa sasa tunawachezaji kama hao,pia naomba yeyote anitajie list ya Sigara na Prisiner
 
kaka umenikuna sana ni kweli kabisa miaka hii hatuna wataalamu wa kusakata kabumbu kama hao
 
Ok, naona mwaongea sana . haya hebu orodhesheni na mafanikio yao ili sisi kizazi cha bongo fleva tupate kuamini mnachosema.

NB: Nnapoongea kuhusu mafanikio nazungumzia vikombe walau ktk scale ya Afrika Mashariki na Kati..

Haya ukumbi ni wenu wazee wa Shikamoo..
 
Kwa Simba,

Mbona umeacha College mate wangu wa Tech. College Arusha yaani marehemu Method Mogela? Pia mate mwingine na yeye Ex-Simba kwa muda mfupi na sasa pia ni marehemu yaani kijana wa target Salleh Sonda.....

Ok, jamaa yako aliendekeza totoz..nway..RIP
 
Mbona mmewasahau hawa wa Yanga?

1. Elias Michael
2. Idd Boi
3. Hassan Gobbos,
4. Abdulrahman Juma
5. Maulid Dilunga (RIP)

Halafu vijana wa Yanga wa kocha wa Mromania:

1. Juma Pondamali "Mensah"
2. Jaffar Abdulrahman
4. Mohamed Mkweche
5. Mohammed Rishad Adolf
6. Mohammed Seugendo
7. Gordian Mapango
8. Mohammed Tostao
9. Kassim Manara
10. ....
11....
12...
 
Ok, naona mwaongea sana . haya hebu orodhesheni na mafanikio yao ili sisi kizazi cha bongo fleva tupate kuamini mnachosema.

NB: Nnapoongea kuhusu mafanikio nazungumzia vikombe walau ktk scale ya Afrika Mashariki na Kati..

Haya ukumbi ni wenu wazee wa Shikamoo..

SIMBA TAIFA KUBWA!
CECAFA CLUB CUPS; 6

-1974, 1991, 1992, 1995, 1996, 2002

African Cup of Champions Club; 8 appearances

-1974 Semi final
-1983 Finalist

-Haya, "kandambili" wekeni rekodi zenu hapa, tena mkileta uwongo hapa tutaanza kuhesabu idadi ya magoli btn these two teams uwanjani, mfano; Yanga 0 - 6 Simba! :D
 
Shukran mzee,

Hizi umeweka appearance kwenye African Cup of Champions Club (??)kama ni kitu cha kujivunia au mafanikio..na semi -final na final appearence kimsingi hizi hazihesabiki.

Shida ni vikombe tu
 
Back
Top Bottom