Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

Status
Not open for further replies.
Binafsi nimefedheheshwa sana na kilichotokea.
Inajulikana wazi kuwa huyu jamaa amehost hii blog USA kama tunamkataba wa kuzuia Ughaidi na Marekani kwa nini tusiutumie kumsaka huyu mtu?
Anachofanya Ze Utamu ni ughaidi wa kifikra, hakikubaliki na jamii yeyote hakuna uhuru wa kujieleza wa namna hiyo, Nakubali kumsema mtu fisadi au vinginevyo ila si kumdhalilisha mtu iwe ni raisi au mpiga debe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom