Je, Traffic check Points ni Revenue Collection Centers?

DolphinT

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
1,308
1,828
Leo nimepanda Gari kutoka sehemu fulani mkoa wa Pwani kuelekea Dar es Salaam
Nilichokiona Ni Trafik police anapiga gari mkono Kama ishara ya kusimamisha gari.

Dereva anaweka mbele halafu konda anashuka anaelekea walipokaa trafick police

Hakuna Askari anayekuja kufanya ukaguzi, konda anarejea na Safari inaendelea.

Nikawa mdadisi kwa dereva, alichonijibu Ni kuwa katika vituo vinne tulivyopita Kila kituo unatakiwa kulipia 5000 ambayo hupewi risiti

Je fedha hii ingeingia serikalini si tungeboresha mapato? Mana kwa siku ni mpunga mrefu !

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama vile hujaitendea haki maana ya Revenue kwa kuihusisha na rushwa!
 
Ni ukweli usiona na mashaka serikali inapoteza hela nyingi sana na kuneemesha police, mfano magari ya masafa yanayotoka dar to arusha na mwanza moshi, yanapofika arusha jioni hupakia abiria wa moshi kwa nauli ya sh 3000/= pasipo kutoa tiketi na kuna check point usa river na boma kwa wasomali, kote huko dreva police wanarekibishana kwa jioni moja gari inabeba abiria 56, mfano magari 10 hesabu ya chini ni kiasi gani maaskari na madreva wanakusanya? Tafakari​
 
Mkuu hiyo wala si revenue wala nini..
Ni rushwa iliyowazi kabisa..
Maaskari wenyewe wanasema wanacheza "KIBATI" na madereva/makonda..
 
Hahahaa....... Kwani revenue ni nini mkuu tusaidie tusiosoma Frank Wood?
Revenue ni mapato.
Polisi wamegeuza kituo cha ukaguzi kuwa kituo cha mapato. Hakuna paliposemwa mapato ya serikali.
Hata wewe ukiwa na biashara yako ya kuuza komoni utapata revenue.,
Nyinyi ndio wasaidizi wa bichwa. No wonder nchi hii inaendeshwa kibwege.
 
Hahahaa....... Una uhakika income itokanayo na mauzo ya mbege kiuhasibu ya hiyo Bcom yako mnaita Revenue?
 
Leo nimepanda Gari kutoka sehemu fulani mkoa wa Pwani kuelekea Dar es Salaam
Nilichokiona Ni Trafik police anapiga gari mkono Kama ishara ya kusimamisha gari.

Dereva anaweka mbele halafu konda anashuka anaelekea walipokaa trafick police

Hakuna Askari anayekuja kufanya ukaguzi, konda anarejea na Safari inaendelea.

Nikawa mdadisi kwa dereva, alichonijibu Ni kuwa katika vituo vinne tulivyopita Kila kituo unatakiwa kulipia 5000 ambayo hupewi risiti

Je fedha hii ingeingia serikalini si tungeboresha mapato? Mana kwa siku ni mpunga mrefu !

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
TRA - Traffic Revenue Authority.
 
Yohana
Bcom ndiyo nini? Unadhani neno revenue limemilikiwa na waliosomea bcom? Mbwa wewe.Fungua hilo bichwa lako uongeze uelewa.
Mbwiga matusi ya nini hapa siyo Ufipa mnakoishi kwa matusi kama salamu.

Nimekuuliza income itokanayo na mauzo ya mbege ni Revenue?!........ Kujibu hili swali wala huitaji kushupaa na kutukana!

Ukishindwa sikushangai kuita rushwa ni Revenue!

Na kwa kukukumbusha tu mbwa ni wale wawili waliokutengeneza!
 
Mbwiga matusi ya nini hapa siyo Ufipa mnakoishi kwa matusi kama salamu.

Nimekuuliza income itokanayo na mauzo ya mbege ni Revenue?!........ Kujibu hili swali wala huitaji kushupaa na kutukana!

Ukishindwa sikushangai kuita rushwa ni Revenue!
Haya maswali yako na upupu kampelekee bichwa huko. Bila shaka mtaelewana tu maana mmefanana mibichwa hiyo.
 
Back
Top Bottom