Je Sheria Ya RB inaruhusu Mtu Kupigwa Risasi ..?

Robies

Member
Feb 28, 2010
18
1
Wadau Kwenye Sheria Iv mtu Aneyetafutwa Kwa RB Eitha Awe Amekusudia Kufanya Kosa Husika Au Bahat Mbaya .. Anaruhusiwa Kupigwa Risasi Endapo Atakaid Amry ya Askary Polisi Kupelekwa Kituoni
.?
 
Why not,chukulia ni lijambazi na linataka kujerui askari,kama wewe ni askari na unaona kifo kipo mbele yako why not usimtwange risasi? Ukikaidi kukamatwa na Polisi,polisi wanayo haki kwa mujibu wa sheria za Tanzania Kutumia Nguvu kiasi ili kumkamata mtuhumiwa.ila hiyo nguvu kiasi ajatajwa ni kwa kiasi gani.
 
Kuna sheria ya ugaidi iliyopitishwa na Mkapa, inaruhusu uuliwe kwanza maelezo baadae. Kenya waliikataa.

Haijalishi una RB au hauna, mradi polisi akiamua kaamua na maelezo yake ni kusema tu "nilimshuku kuwa ni gaidi". Hana kesi, sheria inamlinda.
 
Back
Top Bottom