Je, Serikali imebadili Magari ya Wakuu wa Mikoa?

Usiogope sana ukiskia serikali imetaifisha magari ambayo yaliingizwa kinyemela unafikiri yanapelekwaga dampo la pugu au??
 
Nahisi ilikodiwa mkuu maana hiyo picha imepigwa akiwa Zenji (Mkoa wa Mjini Magharibi)
 
Wakuu wa Mikoa hununuliwa magari ya kazi na Makatibu Tawala wa Mikoa yao yaani kutoka kasma(vote)ya mkoa husika ndiyo maana magari ya Wakuu wa Mikoa hayafanani tofauti na magari ya Wakuu wa Wilaya ambayo hununuliwa kutoka kasma ya Ofisi ya Waziri Mkuu na utakuta mara nyingi hufanana ikitegemeana yalinunuliwa katika kipindi gani
So u mean Kasma ya Mkoa wa Dar imefanya Bashite anunuliwe Range Rover? So Kasma ya Mkoa kama Kigoma si watakua wananunuliwa punda sasa
 
Huyo ndo Mungu Wa Dar es Salaam.
Pia vile vile huyo ndo Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Bwana Pombe.

Sisi tumuacheni afaidi mema ya nchi na keki ya taifa wakati tunasubiri tuone mwisho wake ni upi ili tupate cha kujifunza ama kwa faida yetu sisi ama kwa vizazi vyetu vijavyo...
 
We pimbi kweli ebu jaribu kugawa mshahara wa tsh/m10 ($4454.5) na gari ambalo kuliingiza barabarani Tanzania minimum expenditure ni zaidi $110,000 wewe unadhani kwanini matajiri wanatumia njia za panya.

Mtu huyo huyo anamiliki ford ranger anajenga mwanza. Kwa income gani dogo ni fisadi tu.
Pimbi ni wewe usiejua account ya mtu ina kiasi gani ila kujishaua mitandaoni kuwa hawawezi kununua kitu fulani! Nani amekwambia hi RR ni ya Makonda! Fanya kazi wewe chuki zako kwa Makonda hazikuongezei salio kwenye akaunti yako!

Wewe $110,000 unaona ni hela ya ajabu saaana eti matajiri wanatumia njia za panya! Nyinyi ndio wanafiki, Magu akisema wapiga deals ndio wa kwanza kusema anachukia matajiri wakati nyinyi ndio mnashinda mitandaoni kusema matajiri wanatumia njia za panya!
 
Emotions siku zote huathiri uwezo wa kufikiri, kwani ameonekana na hiyo gari au ndo mazoea ya kuhukumu watu? Amini nawaambia kila anaeamini kile macho yanachokiona ni mpumbavu coz vingine ni ulaghai
Uwege makini na wewe sio kutoa vineno neno hovyo
 
Wazandiki gani upuuzi mtupu mmekuwa watu wa kulalamika tu baada ya kufanya kazi ?

Serikali ina kila aina ya nyanzo zote za usalama kwa nini isiwakamate hawa watu waliocopy namba ya RC.

hivi unaona kweli mkuu au unaazima macho huoni hata video anashuka
 
Hii kitu mbona iko straightfoward. Makonda kaenda ZnZ, kufika kule wenyeji walimuandalia gari ambayo ni hio RR sasa kwenye utambulisho ndio likawekewa namba RC DSM! Vinginevyo mnafikiri kaipandisha meli hio RR? Gari anayotumia RC DSM hapa hapa DSM ni Toyota Land Cruiser VX V8...2016 ya Dark Brown color mfano wake hio hapo chini

WhatsApp%2BImage%2B2017-06-06%2Bat%2B11.16.06.jpeg

maxresdefault.jpg

saawaaa.. swali linakuja hilo ni gari ni mali ya serikali??? na kama pia ni la private...je inaruhusiwa plate number ya RC kuwekwa kwenye gari lolote lile lisilokua la RC?????
 
Kwani hawa viongozi siku hizi wamekuwa wafalme au wafanyabiashara, maana si kwa kutumia magari ya kifahari namna hii wakati nchi bado ina shida lukuki. Mfano, kuna maeneo mengi hasa vijijini hawana maji safi na salama, barabara mbovu, huduma duni za afya, umaskini uliokithiri etc, etc..au ndo kila mtu anapambana na hali yake?
 
Back
Top Bottom