Big up. Watu wengine bwana, kuna kitu gani cha ajabu hapo amefanya mpaka uhisi amepewa limbwata. Watanzia hatujui mapenzi. Nendeni Congo muone ginsi malovee yanakuwa.
hapa ndio tunaona umuhimu wa kulingana au kukaribiana kimaumbile
chukulia kama demu angekuwa mzito letsay 98kg ingekuaje jamaa siange bomoka kama madaraja yanavyo bomoka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.