je ni haki

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
hivi mwanaume anayeondoka home asubuhi halafu anarudi saa 7au8 wakati normal time ya kurudi home ni saa moja kwa ajili ya foleni,hata hatext wala haemail kwamba atachelewa kurudi je ni haki,eti ni weekend anaspend na marafiki zake
 
haki kwenye ndoa au mahusiano ni pana sana kutegemeana na hesabu zenu.
 
haki au si haki inategemeana

kama ni yule wa pub ya jirani
mtafutie kidumu ndo dawa yake lol
 
Tafsiri ya neno HAKI ni kutenda,kufanya,kupewa kitu au jambo ambalo unastahili!
 
haki au si haki inategemeana

kama ni yule wa pub ya jirani
mtafutie kidumu ndo dawa yake lol

Cjaona bado kidumu mwache ajifehedheshe niko na kadaughter kangu kila nikimwangalia nina sababu ya kua na amani na ananifariji na ninajiamini mi ni mzuri like ma id
 
Cjaona bado kidumu mwache ajifehedheshe niko na kadaughter kangu kila nikimwangalia nina sababu ya kua na amani na ananifariji na ninajiamini mi ni mzuri like ma id

umeanza kwa malalamiko but saa hizi naona umeamua kujipa faraja... it works, although not all the time
 
Saa 8 mbona anawahi sana kurudi nyumbani, pita siku moja pale Corner Bar Sinza saa 11 Alfajiri ndio utajuwa kama mumeo anawahi au anachelewa!!

Tips: Bia huwa inaongezeka utamu kuanzia mida ya saa 6 usiku, kama unajuwa jinsi ya kumuhandle mumeo basi siku nyingine hata kutoka nyumbani atakuwa hatoki, jitazame mwenyewe kwanza unawajibika ipasavyo kama mama mwenye nyumba?
 
Kaka wee......ukipiga mambo yako na kuchelewa kurudi..... wanalalamika ukiwahi kurudi hata chai hupewi na chakula anapika dada yeye bize kukwangua mmba sijui mara anajidai yuko busy chumba cha watoto, apangue kabati na kupanga upya!!!!!!!......yaaaani ni bora ukae na masela kwa kweli kupiga story.......hawajieeeleeeewiiiiiii hawajitambuiiiiiii........aaaaargh

Wakijirekebisha turudini jama mabroo as hata masofa tunanunua lakini hatukaliii mpaka kuwe na wageni bana.......Tv mpaka inasahu sura ya father house

Wakigoma tukukutane pale pale kitaa kwa mambo yale yale yanayotupa farajaaaa bora hatuzini nje....kwani nini banaaaa
 
lol...wanaume wenyewe wakirudi wamenuna na sababu kibao ili wasiulizwe kitu au ndo mnawapata wa kuwalowazeni
 
Mambo ni mazowea na mazowea yanageuka haki. Si ulimwachia alipoanza hicho kitabia? Mwache aeendelee tu.
 
Inategemea na mwenendo wa mume wako..kama hana kawaida ya kuchelewa then ikatokea siku moja haina sababu ya kukasirika BUT kama ni mtu wa kurudi saa8 kila siku,tabia yake imechange,safari zake hazieleweki mmmh mnapaswa kuingalia upya ndoa yenu..
 
Mbona hueleweki? Mara nipo na kadaughter kangu kananifariji, mimi ni mzuri kama avatar yangu ilivyo, najiamini, mwache ajifedheheshe. Sasa huku umekuja kutafuta Nini? Inawezekana unamchefua (umem-turn off) jamaa kwa hayo majidai /majisifu yako. Uzuri bila utii ni sifuri.
 
Back
Top Bottom