G M S
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 502
- 53
Wana jf mie ngozi yangu especially uson inasumbuliwa sana na pimples(chunusi) kila aina ya mafuta nnayoshauriwa bado inaleta usumbuf coz nataka kuwa free from pimples niwe soft kama nyie, kwa utafiti wangu kidogo nimeambiwa uso wangu una mafuta kwahiyo nitumiage mafuta makav lakin mafta yote jamani si yana mafuta ndani yake(lotion,cream,mgando) nimetumia mafuta,sabuni na vimiminika(mfano facial cleanser) aina nyingi sana bt bado sijatulia na kujua cha kufanya.msaada wenu please!!?