Je, naweza kijiandikisha na kupata kitambulisho cha MPIGA KURA kwa SASA?

Rampren

New Member
Jun 27, 2019
3
1
Hello Great thinkers!

Nilikuwa nafatilia kurekebisha jina lililokosewa kwenye kitambulisho changu cha NIDA nikagundua kuwa inachukuwa muda sawa na kujaza UPYA form ya NIDA registration UPYA . Shida yangu Ni ya mwezi huu huu wa 10.

Alternative ni (Voters ID), Cha mpiga KURA, Ambacho sina.

NAULIZA: Je, huwa zinatengenezwa kipindi hiki pia? au Mpaka kwenye kura tu?

i hope kwamba hazina milolongo mingi na foleni kibao kama National ID kwasababu wanaoshulikia (Voters ID) naamini ni wachache.
 
Back
Top Bottom